Ninafanye nini nioe?

lukatony

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
637
500
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine na ambayo kiukwel may b yalichangiwa na umbali uliokuwepo baina yetu,we stayed with her for 3yrs,mkakati ukiwa kuja kuoana lakin wakati sasa tukielekea huko ndipo nilipogundua Ana mahusiano kayaanzisha recently,alikanusha pamoja na uthibitisho mwingi,ok sababu nilikuwa nampenda nilishindwa kumuacha,baadaye nilipogundua mchezo unaendelea na yule mtu wake nikaamua kumuacha.
Wa pili yeye tulikaa miaka miwili,alipomaliza Chuo na kupata kazi sehemu nyingine haikupita hata mwaka nikanyanganywa nikakubali
matokeo,nikaanza upya pamoja na kwamba tulishapanga mpaka kuoana mitakuwa mwezi wa ngapi,nikapiga konde Nikakubali matokeo.
Wa tatu ndo huyu sasa tunaelekea kuachana baada ya miaka miwili naye.Maana kapata kazi nzuri in a private company na mkoa mwingine na kwa sababu she is graduate na alikuwa hana kazi ka accept qickly.
Sasa nijuavyo Kuna kila dalili za Kuachana huko mbeleni.
Kwa nini nasema hivi?Scenario zote za nyuma zilisababishwa na umbali.
Na Sababu kubwa ni kwamba pamoja na kwamba am not handsome,cku zote napenda wasichana wazuri.
Sasa wadau nifanyeje nioe nami?
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
funga nae ndoa kabla ya kuondoka kwenda mkoani.............. kiukweli haitakuwa busara kumwambia aache kazi
 
Cjui kutokana na uzuri au la cku zozote alilisitiza mpaka apate kazi ndo tuanze maandaliz maana ni gharama hivyo alilisitiza tujipange wote tukiwa na kazi but mi nikawa naona huyu anavuta muda animwage hajapata appropriate person.
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
Cjui kutokana na uzuri au la cku zozote alilisitiza mpaka apate kazi ndo tuanze maandaliz maana ni gharama hivyo alilisitiza tujipange wote tukiwa na kazi but mi nikawa naona huyu anavuta muda animwage hajapata appropriate person.

sasa we umeshaelewa huyu binti nia yake ni nini? unachong'ang'ani ni nini lakini? kwani demu mzuri kwako anatakiwa aweje ?na je ni wangapi wapo kama huyu demu wako ? mnajua wanaume nyie nawaonaga kama hakili kuna mda amnazo kabisa
 
Kijana leo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
2,862
1,225
mpaka sasa una uzoefu wa kutosha kuoa, coz una miaka 7 ya cv yako ipo vizuri. sasa kwa huyu wa 3 anza maandalizi ya kuoa mapema ukichelewa basi jua utamegewa mwisho wa siku utakuwa msakatonge wa mapenzi. ila pole sana na kitu ninachokiona kwako una wivu sana aisee.
 
Kijana leo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
2,862
1,225
sasa we umeshaelewa huyu binti nia yake ni nini? unachong'ang'ani ni nini lakini? kwani demu mzuri kwako anatakiwa aweje ?na je ni wangapi wapo kama huyu demu wako ? mnajua wanaume nyie nawaonaga kama hakili kuna mda amnazo kabisa

mwambie yeye, nyie wangapi? mimi nina akili zangu, demu mzuri inategemea na rangi ya macho yako yapo vipi, kama una rangi la haragwe basi jua utaona demu ............, kama una rangi la tembele utaona demu ......
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
sasa we umeshaelewa huyu binti nia yake ni nini? unachong'ang'ani ni nini lakini? kwani demu mzuri kwako anatakiwa aweje ?na je ni wangapi wapo kama huyu demu wako ? mnajua wanaume nyie nawaonaga kama hakili kuna mda amnazo kabisa

hapa tunahitaji kuombwa radhi......
 
lukatony

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
637
500
sasa we umeshaelewa huyu binti nia yake ni nini? unachong'ang'ani ni nini lakini? kwani demu mzuri kwako anatakiwa aweje ?na je ni wangapi wapo kama huyu demu wako ? mnajua wanaume nyie nawaonaga kama hakili kuna mda amnazo kabisa

Ndugu yangu hujanielewa maana mi naomba ushauri,yawezekana kile ninachofikiria juu yake kisiwe hivyo ndo maana naomba ushaur,alafu suala la uzuri pamoja na kuwa machoni mwa muhusika lakini kuna mzuri kwa watu wengi,so when I say she is cute,not only to me to many.
 
mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,227
2,000
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine na ambayo kiukwel may b yalichangiwa na umbali uliokuwepo baina yetu,we stayed with her for 3yrs,mkakati ukiwa kuja kuoana lakin wakati sasa tukielekea huko ndipo nilipogundua Ana mahusiano kayaanzisha recently,alikanusha pamoja na uthibitisho mwingi,ok sababu nilikuwa nampenda nilishindwa kumuacha,baadaye nilipogundua mchezo unaendelea na yule mtu wake nikaamua kumuacha.
Wa pili yeye tulikaa miaka miwili,alipomaliza Chuo na kupata kazi sehemu nyingine haikupita hata mwaka nikanyanganywa nikakubali
matokeo,nikaanza upya pamoja na kwamba tulishapanga mpaka kuoana mitakuwa mwezi wa ngapi,nikapiga konde Nikakubali matokeo.
Wa tatu ndo huyu sasa tunaelekea kuachana baada ya miaka miwili naye.Maana kapata kazi nzuri in a private company na mkoa mwingine na kwa sababu she is graduate na alikuwa hana kazi ka accept qickly.
Sasa nijuavyo Kuna kila dalili za Kuachana huko mbeleni.
Kwa nini nasema hivi?Scenario zote za nyuma zilisababishwa na umbali.
Na Sababu kubwa ni kwamba pamoja na kwamba am not handsome,cku zote napenda wasichana wazuri.
Sasa wadau nifanyeje nioe nami?
Pole mdogo wangu, kuwa karibu na mkeo/mchumba wako ni muhimu sana hasa ndoa/penzi likiwa bado changa. Ikibidi jtahdi muwe karibu ila nawe pia punguza wivu. Sio mbaya kufahamu nyendo za mwenzio ila usipitilize ukasahau kwamba yeye sio malaika na ana madhaifu ya kibinadamu. Kumbuka kuwa mabinti warembo wanakumbana mhtihani na vishawishi vingi kutoka kwa wanaume, ni %ndogo sana wanaovuka salama. Ukitaka kuoa warembo jiimarishe kiuchumi utafanikiwa japo hutowabadilisha tabia. Pia nimegundua wewe hutafuti MKE bali mwanamke , achana na warembo wa kichina hao ni pasua kichwa, tafuta binti mwenye mvuto wa kawaida na tabia inayokuvutia lakini pia anaye vutiwa na wewe. Punguza wivu kupitiliza na jifunze kusamehe panapo hitilafu. Jitahidi pia kujweka karibu na Mungu kwa ibada, kufunga na maombi. Mabinti wengi hupenda mwanaume mwadilifu na mchakalikaji pia mwenye busara, mpole,huruma, kujali, asie na papara. Kama hutojirekebisha utakimbiwa kila siku.
 
Asante sana kaka,nimejifunza mengi.
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
Ndugu yangu hujanielewa maana mi naomba ushauri,yawezekana kile ninachofikiria juu yake kisiwe hivyo ndo maana naomba ushaur,alafu suala la uzuri pamoja na kuwa machoni mwa muhusika lakini kuna mzuri kwa watu wengi,so when I say she is cute,not only to me to many.

basi usioe hiyo kitu utagongewa na wenzio ndo ushauri wangu huyo........ cha wote pole
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,162
2,000
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine na ambayo kiukwel may b yalichangiwa na umbali uliokuwepo baina yetu,we stayed with her for 3yrs,mkakati ukiwa kuja kuoana lakin wakati sasa tukielekea huko ndipo nilipogundua Ana mahusiano kayaanzisha recently,alikanusha pamoja na uthibitisho mwingi,ok sababu nilikuwa nampenda nilishindwa kumuacha,baadaye nilipogundua mchezo unaendelea na yule mtu wake nikaamua kumuacha.
Wa pili yeye tulikaa miaka miwili,alipomaliza Chuo na kupata kazi sehemu nyingine haikupita hata mwaka nikanyanganywa nikakubali
matokeo,nikaanza upya pamoja na kwamba tulishapanga mpaka kuoana mitakuwa mwezi wa ngapi,nikapiga konde Nikakubali matokeo.
Wa tatu ndo huyu sasa tunaelekea kuachana baada ya miaka miwili naye.Maana kapata kazi nzuri in a private company na mkoa mwingine na kwa sababu she is graduate na alikuwa hana kazi ka accept qickly.
Sasa nijuavyo Kuna kila dalili za Kuachana huko mbeleni.
Kwa nini nasema hivi?Scenario zote za nyuma zilisababishwa na umbali.
Na Sababu kubwa ni kwamba pamoja na kwamba am not handsome,cku zote napenda wasichana wazuri.
Sasa wadau nifanyeje nioe nami?

Mkuu kwanza pole sana kwa hayo Masahibu yaliyokukuta sababu Mimi pia hapa nilipo kidonda changu cha Usaliti juu ya Mahusiano ya mbali yaani Mikoa tofauti bado ni kibichi kabisa,ushauri wangu ni huu,kama inawezekana kuoana kwa muda huu kabla hajaondoka kwenda huko Mkoani kikazi fanya hivyo na kama haiwezekana basi hakikisha ndani ya Miezi 6 hilo zoezi uwe umelikamilisha,la sivyo temana nae.
 
Mkuu asante,mawazo yako karibu yote yameendana nami,maana yeye binafsi na mimi tumepanga June,tumefkia muafaka huo,na sababu June c mbali na process tumesema zianze february then from there ntajua mbivu na mbichi,ntakuwa nimejifunza mengi sana kwenye maisha yangu kuhusu girls hasa hawa graduates maana wote hao ni magraduates bahati mbaya wazuri.
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,321
0

wanawake wamejaa kona baa sinza wewe unahangaika na vikojozi. saa mbili usiku kachague mzigo uondoke nao
 
tall gal

Senior Member
Oct 24, 2013
102
0
Fanya ivi...toa mahari kwao, mvishe pete ya uchumba......then mwache akafanye kazi huku mipango ya ndoa ikiendelea
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,673
2,000
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine na ambayo kiukwel may b yalichangiwa na umbali uliokuwepo baina yetu,we stayed with her for 3yrs,mkakati ukiwa kuja kuoana lakin wakati sasa tukielekea huko ndipo nilipogundua Ana mahusiano kayaanzisha recently,alikanusha pamoja na uthibitisho mwingi,ok sababu nilikuwa nampenda nilishindwa kumuacha,baadaye nilipogundua mchezo unaendelea na yule mtu wake nikaamua kumuacha.
Wa pili yeye tulikaa miaka miwili,alipomaliza Chuo na kupata kazi sehemu nyingine haikupita hata mwaka nikanyanganywa nikakubali
matokeo,nikaanza upya pamoja na kwamba tulishapanga mpaka kuoana mitakuwa mwezi wa ngapi,nikapiga konde Nikakubali matokeo.
Wa tatu ndo huyu sasa tunaelekea kuachana baada ya miaka miwili naye.Maana kapata kazi nzuri in a private company na mkoa mwingine na kwa sababu she is graduate na alikuwa hana kazi ka accept qickly.
Sasa nijuavyo Kuna kila dalili za Kuachana huko mbeleni.
Kwa nini nasema hivi?Scenario zote za nyuma zilisababishwa na umbali.
Na Sababu kubwa ni kwamba pamoja na kwamba am not handsome,cku zote napenda wasichana wazuri.
Sasa wadau nifanyeje nioe nami?
Acha longolongo wewe!kimbiza mapene tu utaona jinsi chicks zitakavyokufukuzia wakishirikiana na wazazi wao!tafuta mawe kijana ,achana na vinyama akili hivyo,utapasua kichwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom