Izime halafu chomoa waya na utoe betri.
Pc ikiwa haina betri bofya kitufe cha kuwasha/ zima kwa sekunde 20.
Baada ya hapo rudisha betri., halafu washa laptop.
Uko mkoa gani au eneo gani?Asante mkuu,nimefanya lakin bado inasumbua,tangu ninunue hii ni mara ya kwanza kutokea,na je nikipeleka kwa fundi kumbukumbu zangu zitapotea?
Mie ya kwangu nikiwasha inakata moto ghafla, hata kama iko fully charged, pia wakati mwingine ikifanikiwa kuwaka inatokea maandishi meeeengi yakiwemo "startup repair" na inaweza inaweza kufanya hivyo kutwa nzima.
Brand ni Lenovo thinkpad
Msaada tafadhali