Search results

  1. Q

    Ni kwanini Mimi?

    Wakuu kwema ? Kuna jambo huwa linanishangaza saana yaani katika familia yetu au baadhi ofisini nilifanya jambo linakuwa linaongelewa sana liwe baya liwe zuri yaani maneno yankua hayaishi.. Likiwa baya nakua attacked saana na familia yaani Kila mwana familia anapigiwa simu na kupewa taarifa...
  2. Q

    Aliniambia siendani naye na mimi ni mshamba, sasa hivi hachoki kupiga simu kuomba msamaha!

    Wakuu kwema, hope mna weekend njema. Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi. Nilimwambia tu sawa nashukuru. Leo hii anakuja kunitafuta ananiomba msamaha, anapiga sana simu leo ni...
  3. Q

    Mrejesho Nitachomokaje hapa

    Wakuu kwema Siku kadhaa nyuma nikileta Uzi wangu hapa nawezaje kuchomoka mtego Wa mademu zangu wawili.. Demu alikuja Wa Chuo nikaanza kumwambia mbona hujaja bila taarifa nikaanza kumfokea na akanuna akaninyima shoo.. Jana jumatatu narudi job nakuta hajafanya chochote tokea asubuhi hapa...
  4. Q

    Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

    Wakuu kwema? Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya. Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio...
  5. Q

    Ukisoma hii mpaka mwisho utakua umekombolewa

    Habari wana Jf Kwenye haya maisha watu wengi wanateseka sana kwa sababu kuna vitu vitatu ambavo hawavijui trust me hii hakuna mtu atakaye kuambia siri ambayo matajiri wengi ndo wanayoitumia. Kwenye huu ulimwengu tunaoishi kuna vitu vitatu ambavo ndo vinaongoza maisha yetu na ukivifahamu tuu...
  6. Q

    Nikaushe au niendelee kujipa moyo?

    Wakuu nina rafikia wa kike aliposting picha ya rafiki yake status whatsapp nikampenda nikamuomba namba akanipa. Nikamtafuta nikamuambia fulani kanipa namba yako akasema poa, nikaa kama week nikamuomba tuonane akakubali tukaonana, tukafahamiana nikamueleza ya moyoni akaniambia nimekusikia...
  7. Q

    Nimeamini kweli kuna wanawake wana bahati

    Kwema? Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu. Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni...
  8. Q

    Nishauri nifanyeje ili nikae sawa

    Wakuu kwema? Mwezi wa 3 mwaka huu nilimpoteza mpenzi wangu, na uzi nilileta hapa Ilimradi alikufa kipindi tukiwa hatuko sawa kutokana na yeye kunisaliti sasa tulikua tumepanga mengi kama mke na mme. But tokea amekufa nimekua mpweke sana nimefuta picha zake zote ila nimeshindwa kufuta namba...
  9. Q

    Moyo wangu unavuja damu inanitesa naombeni msaada nifanyeje?

    Habari za Jumapili ndugu zangu? Ndugu zangu kuna jambo nilikua nalichukulia poa ila kwa sasa hivi linaninyima amani sana nakua na mood off saana. Nilikua na gilrfriend wangu tukawa tumegombana baada ya yeye kunicheat sasa aliniomba sana msamaha sikumsamehe alinitumia message akaniambia naumwa...
  10. Q

    Masaada mimi nimeshindwa

    Wadau nina Samsung galax A50 Hii simu bana nikienda sehemu ya baridi ina ji freeze kabisa yaani ina ji restart kila wakati yaani kifupi haitaki baridi kabisa msaada wadau nifanyeje?.
  11. Q

    Aliniambia ana mimba ili ale hela zangu kumbe hakua nayo

    Wakuu kwema Kuna mkasa naomba ni share na nyinyi hapa ulinitokea last year. Nilipitia kipindi cha sonona ila badae nilikuja kukaa sawa na sasa hivi life goes on ila siwezi sahau. Ilikua hivi mwishoni wa mwaka 2020 nilianzisha mahusiano na dada mmoja alikua ni single mama tukaendelea mwaka...
  12. Q

    Msaada: Nifanye nini ili niweze ku-make hela?

    Wakuu kwema? Mimi naamini kama ukiweza ku make milion kwenye account yako ya benki kwenda million 2, 3 ni rahisi sasa tatizo ni mimi. Mshahara wangu kwa mwezi ni 1.3 million. Ila tokea nimeanza kazi nina mwaka mmoja na nusu account yangu haijawahi kuwa na balance ya milioni mshahara ukiingia...
  13. Q

    USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

    Habari zenu wadau, kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana. Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo...
  14. Q

    Simuelewi anataka nini

    Hope mko salama, Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc. Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati...
  15. Q

    Nimejichanganya na amegoma kunielewa naombeni mawazo yenu

    Niende moja kwa moja kwenye mada maana hapa sielewi kabisa. Ipo hivi shemeji yenu alikuja geto sasa akaniambia yupo siku za hatari nitumie ndom , sasa kutokana na papara za nyege kuna demu alikuja juzi yake geto. Nikanunua ndom nikatumia kondom 2 sasa si nikajisahau bana nikachukua box la...
  16. Q

    Tuliwahi kufanyiwa bullying tukiwa tunasoma shuleni njoo utueleze ilikuaje?

    Wakuu kwema? Aisee najua kwenye maisha kipindi tunasoma watu wengi saana walipitia changamotoo mbali mbali kufanyiwa vitendo vya kudhalilisha na walimu au wanafunzi wenzao. Aisee mimi nakumbuka mwaka 2005 nikiwa darasa la tano kuna jamaa mmoja alikua Anaitwa Emanuel yeye alikua la saba na ndo...
  17. Q

    Nimemtoa bikira sasa anadai nimlipie ada -- nifanyeje?

    Wakuu kwema? Aise mwaka huu kwenye mwezi wa tatu kuna dada nilikua nae kwenye mahusiano nae tokea mwaka jana mwezi wa 9 sasa kila nilikua namuomba sex alikua anaonekana kuogopa sana Age yake 24 Basi bwana mwaka huu alikuja geto nikampanga mtoto saaana hatimae akakubali tukaanza malavu davi...
  18. Q

    Msaada: Mpenzi wangu ana mwili baridi

    Hope mko salama Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii. Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila kiukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana. Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
  19. Q

    Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
  20. Q

    Eti kanuna nashindwa kumuelewa

    Kwema wakuu Kuna workmates wangu tunafanya naye kazi ofisi moja ila kitengo tofauti But tunapanda gari moja la ofisini maana tunakaa mtaa mmoja Mwanzoni nilikua namchukulia kama mshikaji wangu tuu baada ya mda basi tukaanza mazoea nikaona akinizoea sana nitamkosa maana nia yangu nilikua...
Back
Top Bottom