Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Wakuu kwema?

Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.

Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.

Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..

Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah

Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.

Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?

Msaada tutani.
 
Umeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
 
Hakuna ujanja kwenye ku-cheat maana hata uwe mjanja kama dabolooseveni James Bond kuna siku utakamatwa tu. Nadhani bado ungali kijana. Miaka 10 - 20 mbele ya safari huko (kama utakuwa umeshajitambua) utakuja kukumbuka purukushani hizi za ujanani na kuishia kujisikitikia tu kwa muda na resources ulizopoteza...na kumshukuru Mungu kama utavuka bila UKIMWI, mikosi na mengineyo. Pole!
 
Wakuu kwema?

Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha Sasa mmoja Nina mda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya

Ni wazuri wote ila hyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa dar Nina mmoja Wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.

Hyu Wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi zi ambaye ni WA pili alipata Kazi dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapo Kaa sawa nikakubali anakuja jumatano ajiandae andae..

Jana gafla Wa chuo ananipigia simu nipo shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikakuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah

Nikamuuliza unakaa mda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani hyu Wa chuo.

Sielewi nafanyeje na hyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikitumia message mbili tatu anapiga wadau hapa nafanyaje Maana sielewi huyu namtoa vip hapa?

Msaada tutani.
Huwa unapima UKIMWI kila baada ya muda gani??
 
mwambie upo safarini kuelekea Iringa kikazi maybe unaweza rudi next month, kuna upepo mkali huwezi ongea mkaskizana viziri labda meseji tuu
 
Pole sana hayanaga muongozo...
unnamed-1.jpg
unnamed.jpg

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom