Nishauri nifanyeje ili nikae sawa

Nishauri nifanyeje ili nikae sawa

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,012
Wakuu kwema?

Mwezi wa 3 mwaka huu nilimpoteza mpenzi wangu, na uzi nilileta hapa

Ilimradi alikufa kipindi tukiwa hatuko sawa kutokana na yeye kunisaliti sasa tulikua tumepanga mengi kama mke na mme.

But tokea amekufa nimekua mpweke sana nimefuta picha zake zote ila nimeshindwa kufuta namba yake ya simu yaani nimeshindwa.
Natamani tena kuwa kwenye mahusiano nioe.

Nahisi nikikaa na mwanamke nikimuona mda wote nitakua sawa maana kwa sasa naishi peke yangu na wakati mwingine mdogo wangu huwa anakuja na kuondoka.

Nimekua mtu wa kusikiliza mziki mda wote
Naona kama ndo unanipa faraja kwa sasa natafuta partner nahisi naweza kukaa sawa.

Naombeni ushauri nichukue hatua gani?.
 
Mfuate huko aliko

Pole
 
Pole mkuu
Hivyo unavyojisikia wakati huu ndivyo binadamu wa kawaida aliyefiwa,hasa na mtu wa karibu anatakiwa kuwa

Jipe muda huku ukiendelea kusali....utakuwa sawa
 
Pole buda. Ila uanaume wetu upo pabaya sasa. Mm huwa sipendi kabisa kuona mwanaume anaumia hadharani kwa mawazo mawazo, hii sio sifa yetu wanaume. Mwanaume ni mhimili, likitokea jambo hata kama litakuumiza kiasi gani unalibeba kama mwanaume unasonga mbele. Kuna muda huwa najiuliza hivi hawa wanaume wanaoshindwa kuzibeba hisia zao huwa wanakua wanaume kweli? Kwahio mkuu unataka watoto wa kike waje waku console ama!

Siongei ongei tu huwa inanikera for sure. USHUDA KUNIHUSU: Tarehe 08.01.23 nilimpoteza mama mzazi. Hali yake ilibaridika jioni ya tarehe 07.01.23 hivyo niipigiwa simu kwamba ikiwezekana nisafiri maana mm nipo mkoani na home bi dar kigamboni. Usiku nilimambia mjomba (alikuja likizo ya December) kesho asubuhi sana tunaenda home hivyo tukaanza kuandaa vinguo vya kubadir tukiwa huko.

Niliamka saa 10 alfajiri nikamshtua mjomba ajiandae twende. Saa 10.15 nikapigiwa simu mama hatupo nae, sikumwambia anko maana ni mdogo. Nilichokifanya nilijiinamia kama dk 10 hivi nilipoinuka nipiga sim home nikawala maelekezo ya kufanya, huwezi amini simu ile ilionya nyoyo za dada zangu wote maana muda huo walikua hawajui cha kufanya.

Nilisafiri baada ya kumpumzisha mama kwenye stori na shemeji yangu ndio akafunguka. Akaniambia "mwamu una roho ngumu sana. Ile siku umetokea msiba wote hatukua tunajua tuanzeje, simu yako ilileta faraja na matumaini makubwa kwa kila mtu" nikamwambia mwamu mm huwa nachukulia kila jambo ni kawaida tu hivyo nalikabili kirahisirahisi tu.

Wakati namaliza chuo nilijiapiza sitaoa hadi nimjengee mama nyumba japo ndogo na niongeze elimu. Kweli nilifanikiwa kumjengea mama na nikaongeza elimu, bahati mbaya mama kaondoka kabla ya ushudia nikioa. Unaweza kuona jinzi inavyoumiza ila hata siku moja huwa siioneshi kirahisi kwamba inaniumiza. Wanaume tumeumbiwa kubeba na kusonga mbele.

KIJANA KUA SASA
 
Pole mkuu
Hivyo unavyojisikia wakati huu ndivyo binadamu wa kawaida aliyefiwa,hasa na mtu wa karibu anatakiwa kuwa

Jipe muda huku ukiendelea kusali....utakuwa sawa
Hapo kwenye "anatakiwa kuwa" napingana na wewe mkuu. Huyu ni mwanaume mshauri ajifunze kukaza roho na kuwa imara. Mambo kama haya yatatokea sana kwenye maisha yake (siombei) hivyo inampasa aimarike sasa. Aijifunze kuwa na roho ubwa na ya kiume. Hii ndio sifa ya mwanaume
 
Mwanagu acha miyeyusho bhana we kamata sigara mbwege mkono wakulia kisha mkono wa kishoto kamata k vant ukikosa hata gongo sio mbaya tumia kwa siku 7 mfululizo kisho leta mrejesho hapa jukwaani
 
Hata mie hapo kwenye kukaza roho napingana na wewe
Mwanaume kama viumbe wengine wana haki ya kuumia wakiumizwa na kuonesha maumivu yao ikibidi ili kupatiwa msaada(faraja)
 
Mwanagu acha miyeyusho bhana we kamata sigara mbwege mkono wakulia kisha mkono wa kishoto kamata k vant ukikosa hata gongo sio mbaya tumia kwa siku 7 mfululizo kisho leta mrejesho hapa jukwaani
Anazingua huyu. Mwanaume unakuja unalialia
 
Tuliza akili bado hujajua unachotaka na kama umemsababishia mwenzako stress mapka akafa hutakaaa utulie
 
Kwaio unatafuta mwanamke??

Na pia kwanini ulikua una date na mwanamke mmoja tu ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom