Msaada: Nifanye nini ili niweze ku-make hela?

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Wakuu kwema?

Mimi naamini kama ukiweza ku make milion kwenye account yako ya benki kwenda million 2, 3 ni rahisi sasa tatizo ni mimi.

Mshahara wangu kwa mwezi ni 1.3 million. Ila tokea nimeanza kazi nina mwaka mmoja na nusu account yangu haijawahi kuwa na balance ya milioni mshahara ukiingia nautumia najikuta nibaki na 100k mpaka 150k.

Mimi nimepanga na najitegemea. Naombeni ushauri jamani nifanye ili niweze ku make.
 
Anza kufanya maamuzi magumu yanayokuitaji upoteze pesa. Palipo na risk kubwa ndio palipo na pesa
 
Back
Top Bottom