Moyo wangu unavuja damu inanitesa naombeni msaada nifanyeje?

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Habari za Jumapili ndugu zangu?

Ndugu zangu kuna jambo nilikua nalichukulia poa ila kwa sasa hivi linaninyima amani sana nakua na mood off saana.

Nilikua na gilrfriend wangu tukawa tumegombana baada ya yeye kunicheat sasa aliniomba sana msamaha sikumsamehe alinitumia message akaniambia naumwa naomba unisaidie hela sikumjibu akapiga simu sikupokea.

Akaniambia mbona nina moyo mgumu sana wa kutokusamehe? Akaniambia yeye ni mwanadamu anahitaji kusahemehewa nikawa nasoma sijibu akipiga sipokei.

Sasa wiki chache nyuma akanitumia message mimi naumwa sana naweza kufa ila usiache kuja kwenye msiba wangu sikujibu.

Dah, kumbe alikua anamaanisha bwana, Alhamisi asubuhi natumiwa message naambiwa amekufa. Dah, nilipata sana mshtuko.

Sasa wakuu hii hali inanitesa sana, najilaumu kwanini sikumsamehe. Nilienda kumzika na nimerudi home, sasa hii hali inanitesa sana sijui nifanyeje ndugu zangu ili nisahau.
 
Habari za jumapili ndugu zangu?

Ndugu zangu kuna jambo nilikua nalichukulia poa ila kwa sasa hivi linaninyima amani sana nakua na mood off saana.

Nilikua na Gilrfriend wangu tukawa tumegombana baada ya yeye ku ni cheat sasa aliniomba sana msamaha sikumsamehe alinitumia message akaniambia naumwa naomba unisaidie hela sikumjibu akapiga simu sikupokea.

Akaniambia mbona nina moyo mgumu sana wa kutokusamehe? Akaniambia yeye ni mwanadamu anahitaji kusahemehewa nikawa nasoma sijibu akipiga sipokei.

Sasa week chache nyuma akanitumia message mimi naumwa sana naweza kufa ila usiache kuja kwenye msiba wangu sikujibu.

Daaah kumbe alikua anamaanisha bana alhamisi asubuhi natumiwa message naambiwa amekufa daah nilipata sana mshtuko.

Sasa wakuu hii hali inanitesa sana najilaumu kwa nini sikumsamehe nilienda kumzika na nimerudi home sasa hii hali inanitesa saana sasa sijui nifanyeje ndugu zangu nisahau.
Pole sana ila kwe maradhi ungeenda hata kumjulia hali ungeona mateso yake ni adhabu tosha kwa kosa alilofanya sio kila kitu cha kupuuzia
 
Kosa ulofanya ni kuchukulia vitu too personal. Dem akicheat lkn akaomba msamaha we msamehe awe anaosha rungu ukikosa muoshaji, mambo madg madg saidia tu kama ipo ndani ya uwezo wako. Ila ukishachukulia kitu personal sana ndo hata kitu kdg ukiwa na uwezo wa kusaidia hutosaidia
 
Kufa ni life cycle ni jambo la lazima kutokea ukishakua unaishi, shida ni ile kutangulia na yeye ametangulia. Inaumiza kwa sababu bado ulikua unampenda kwahiyo usijilaumu sana kwa kuwa ulikua kwenye kipindi ambacho kwa % kubwa yeye ndie chanzo(zilikua hasira za muda zingeisha ).
Pole sana
 
Habari za jumapili ndugu zangu?

Ndugu zangu kuna jambo nilikua nalichukulia poa ila kwa sasa hivi linaninyima amani sana nakua na mood off saana.

Nilikua na Gilrfriend wangu tukawa tumegombana baada ya yeye ku ni cheat sasa aliniomba sana msamaha sikumsamehe alinitumia message akaniambia naumwa naomba unisaidie hela sikumjibu akapiga simu sikupokea.

Akaniambia mbona nina moyo mgumu sana wa kutokusamehe? Akaniambia yeye ni mwanadamu anahitaji kusahemehewa nikawa nasoma sijibu akipiga sipokei.

Sasa week chache nyuma akanitumia message mimi naumwa sana naweza kufa ila usiache kuja kwenye msiba wangu sikujibu.

Daaah kumbe alikua anamaanisha bana alhamisi asubuhi natumiwa message naambiwa amekufa daah nilipata sana mshtuko.

Sasa wakuu hii hali inanitesa sana najilaumu kwa nini sikumsamehe nilienda kumzika na nimerudi home sasa hii hali inanitesa saana sasa sijui nifanyeje ndugu zangu nisahau.
dronedrake Liverpool VPN fundi bishoo Mzee wa kupambania karv aveki min -me

Mwanetu kapigwa na kitu kizito kichwani njooni muone huku 😊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom