Msaada: Mpenzi wangu ana mwili baridi

Msaada: Mpenzi wangu ana mwili baridi

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,011
Hope mko salama

Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii.

Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila kiukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.

Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
 
Mpe vyakula vya kunenepesha; mpe supu ya sato mzima kila siku, mchanganyiko wa matunda, maziwa fresh kila siku, mchemsho wa kuku;

Awe anavaa mavazi mazuri ya kutamanisha, atumie mafuta yanayong'arisha ngozi n.k...hapo lazima joto lipande, na ukiweka kichwa tu..tayari unakuwa kileleni
 
Hope mko salama

Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wabaridii.

Kwa hyo ata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila ki ukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.

Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.

To be honest huyo ana yutiai sugu. Nenda kampime magojwa ya zinaaa.
 
Mpe vyakula vya kunenepesha; mpe supu ya sato mzima kila siku, mchanganyiko wa matunda, maziwa fresh kila siku, mchemsho wa kuku;

awe anavaa mavazi mazuri ya kutamanisha, atumie mafuta yanayong'arisha ngozi n.k...hapo lazima joto lipande, na ukiweka kichwa tu..tayari unakuwa kileleni
mmh!
 
Jitahidi umpeee supu ya kuku daily, Ila hii inafanya kazi baada ya kupiga show
 
Back
Top Bottom