Eti kanuna nashindwa kumuelewa

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Kwema wakuu

Kuna workmates wangu tunafanya naye kazi ofisi moja ila kitengo tofauti

But tunapanda gari moja la ofisini maana tunakaa mtaa mmoja

Mwanzoni nilikua namchukulia kama mshikaji wangu tuu baada ya mda basi tukaanza mazoea nikaona akinizoea sana nitamkosa maana nia yangu nilikua nidate naye siku moja nikamuita nikamueleza hisia zangu akanichomolea daah nilijisikia vibaya basi nikasema haikua riziki yangu nikakaza moyo konde ilimradi niliumia saana maana ni mzuri kweli ila nikajikaza

Sasa baaada hapa mimi nikaacha kuwa nae na mazoea kabisaa nikawa busy na mambo yangu Salam tuu basi

Siku moja akanipigia simu usiku akamiambia mbona simpigiagi simu tena nikamuambia mambo mengi sasa hivi ila. Nitakua nakupigia siku moja moja akaniambia sio siku moja moja uwe unanipigia kila siku nikamuambia poa

Kusema ukweli nilishindwa maana moyo wangu ulikua ushakua mzitoo nikawa simpigii simu basi bana kumbe mwenzangu anakasirika nikawa nikimsalimia haitiki au anaitika kinyonge nikamuita nikamuambia vp mbona uko hivo akasema mbona unipigiagi simu tena?

Nikamuambia basi nitakua na kupgia sasa hapa nashindwa kuelewa nia yake nn na wakati alishanikataa mwanzoni?
 
Sasa huelewi nini kwamba huyo dada anakuelewa ila hakutaka kuonekana mwepesi akakataa?? kwanza acha mambo ya kutongoza ni uzamani, weekend mpigie muombe mtoke out hata beach pigeni story usiongelee mapenzi kabisa na hakikisha unamla hata mate na story yenu itaanzia hapo acha mambo yako ya nakupenda hisia sijui moyo ukikuona unatanuka silali naota achaaaaaa.
 
sasa huelewi nini kwamba huyo dada anakuelewa ila hakutaka kuonekana mwepesi akakataa?? kwanza acha mambo ya kutongoza ni uzamani, weekend mpigie muombe mtoke out hata beach pigeni story usiongelee mapenzi kabisa na hakikisha unamla hata mate na story yenu itaanzia hapo acha mambo yako ya nakupenda hisia sijui moyo ukikuona unatanuka silali naota achaaaaaa.
Sawa mkuu mekuelewa
 
Kwema wakuu

Kuna workmates wangu tunafanya naye kazi ofisi moja ila kitengo tofauti

But tunapanda gari moja la ofisini maana tunakaa mtaa mmoja
Mweleze ka ulivyotueleza hapa jamvini mkuu hopefully atakuelewa tu na Wala hata nuna/ kukasirika Tena!!
 
Dah!! Mbona Mimi kipindi naanza mapenzi sikua kilaza kiasi hiki!!?
Kisichoeleweka hapo ni kipi??
Kusoma hujui, hata picha tu!!?
Mpelekee maua ya mnazi
 
Kusema ukweli nilishindwa maana moyo wangu ulikua ushakua mzitoo nikawa simpigii simu basi bana kumbe mwenzangu anakasirika nikawa nikimsalimia haitiki au anaitika kinyonge nikamuita nikamuambia vp mbona uko hivo akasema mbona unipigiagi simu tena? Nikamuambia basi nitakua na kupgia sasa hapa nashindwa kuelewa nia yake nn na wakati alishanikataa mwanzoni?

Mkuu according to wahuni 6: 13 -19 hadi hapo game liko upande wako,, lazima tuchukue kombe.
kwanza, Huyo Demu hajakasirika kama unavyojiaminisha.. huyo ni anatafuta validation, acceptance Carlos The Jackal alishazungumzia hili..

Pili, katika kosa utakalofanya ni kuanza kumpigia simu kila siku,, hili kosa usifanye,, narudia tena usipige simu kama anavotaka.. mchezo utahamia upande wake.

Tatu: Arrange meetings, then huko mkiwa meeting make sure umepiga hata kiss au muite majina ya wapenzi au umeshika tako na la msingi kuliko yote fanya try & error ya kula mzigo,, akileta pozi disccusion ihamie kwenye kula mzigo na sio mitongozo.

Jitahidi kuwa straight kadri ya uwezo wako.
Usimpe attention yako katika kiwango anachotaka,,, make sure always uko chini ya kiwango anachotaka.

Huu ni ushauri tu sio Sheria
Thank me later.
 
Back
Top Bottom