Aliniambia ana mimba ili ale hela zangu kumbe hakua nayo

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Wakuu kwema

Kuna mkasa naomba ni share na nyinyi hapa ulinitokea last year. Nilipitia kipindi cha sonona ila badae nilikuja kukaa sawa na sasa hivi life goes on ila siwezi sahau.

Ilikua hivi mwishoni wa mwaka 2020 nilianzisha mahusiano na dada mmoja alikua ni single mama tukaendelea mwaka jana kwenye mwezi wa 7 akanimbia ana mimba hii ilikua ni furaha sana kwangu basi kwakua nilikua namuamini nikaanza kulea mimba bado ikiwa changa kabisa basi bana .

Nikawa naongeza matunzo nikafungua mpka account ya benki kwa ajili ya mtoto wangu ajaye

Picha linaanza miezi inaenda tumbo halikui nikamuambia mbona tumbo lako bado dogo sana akasema yeye hana tumbo kubwa nikamuambia sawa . Mimba inakaribia miezi mitano hajawahi niambia habari za clinic

Nikamwambia mbona huendi hata Kliniki akasema sio lazima ataenda .

Nikaanza kupatwa wasi wasi nikimuambia tukutane kimwili hataki analeta visingizio kibao.
Na wakati yeye ni moja kati ya wale wanawake wakiwa na hamu wanakujaga wenyewe bila hata kumwambia.

Nikamuambia kuanzia leo sitakupa hata mia yangu mpaka nione hyo mimba akawa mbogo na mm nikawa mbogo baada ya mvutanoo saana akaja kukubali kuwa hakua na mimba Alinidanganya aone respond yangu

Daaah asikuambie mtu niliumia saana maana nilitumia cost kubwa za kumjali.

Nimefupisha story ila mwanaume mwenzangu usimuamini mwanamke.
Mwisho wa siku nikampiga chini.

Now naendelea na maisha yangu.
 
Ilikua hivi mwishoni wa mwaka 2020 nilianzisha mahusiano na dada mmoja alikua ni single mama tukaendelea mwaka jana kwenye mwezi wa 8 akanimbia ana mimba hii ilikua ni furaha sana kwangu basi kwakua nilikua namuamini nikaanza kulea mimba bado ikiwa changa kabisa basi bana .

Nikawa naongeza matunzo nikafungua mpka account ya benki kwa ajili ya mtoto wangu ajaye

Picha linaanza miezi inaenda tumbo halikui nikamuambia mbona tumbo lako bado dogo sana akasema yeye hana tumbo kubwa nikamuambia sawa . Mimba inakaribia miezi mitano hajawahi niambia habari za clinic

Nikamwambia mbona huendi hata Kliniki akasema sio lazima ataenda .

Nikaanza kupatwa wasi wasi nikimuambia tukutane kimwili hataki analeta visingizio kibao.
Na wakati yeye ni moja kati ya wale wanawake wakiwa na hamu wanakujaga wenyewe bila hata kumwambia.

Nikamuambia kuanzia leo sitakupa hata mia yangu mpaka nione hyo mimba akawa mbogo na mm nikawa mbogo baada ya mvutanoo saana akaja kukubali kuwa hakua na mimba Alinidanganya aone respond yangu

Daaah asikuambie mtu niliumia saana maana nilitumia cost kubwa za kumjali.

Nimefupisha story ila mwanaume mwenzangu usimuamini mwanamke.
Mwisho wa siku nikampiga chini.

Now naendelea na maisha yangu.
Vzur kwa kumpiga chin, alitaka kula tu hela zako
 
Wakuu kwema

Kuna mkasa naomba ni share na nyinyi hapa ulinitokea last year. Nilipitia kipindi cha sonona ila badae nilikuja kukaa sawa na sasa hivi life goes on ila siwezi sahau.

Ilikua hivi mwishoni wa mwaka 2020 nilianzisha mahusiano na dada mmoja alikua ni single mama tukaendelea mwaka jana kwenye mwezi wa 7 akanimbia ana mimba hii ilikua ni furaha sana kwangu basi kwakua nilikua namuamini nikaanza kulea mimba bado ikiwa changa kabisa basi bana .

Nikawa naongeza matunzo nikafungua mpka account ya benki kwa ajili ya mtoto wangu ajaye

Picha linaanza miezi inaenda tumbo halikui nikamuambia mbona tumbo lako bado dogo sana akasema yeye hana tumbo kubwa nikamuambia sawa . Mimba inakaribia miezi mitano hajawahi niambia habari za clinic

Nikamwambia mbona huendi hata Kliniki akasema sio lazima ataenda .

Nikaanza kupatwa wasi wasi nikimuambia tukutane kimwili hataki analeta visingizio kibao.
Na wakati yeye ni moja kati ya wale wanawake wakiwa na hamu wanakujaga wenyewe bila hata kumwambia.

Nikamuambia kuanzia leo sitakupa hata mia yangu mpaka nione hyo mimba akawa mbogo na mm nikawa mbogo baada ya mvutanoo saana akaja kukubali kuwa hakua na mimba Alinidanganya aone respond yangu

Daaah asikuambie mtu niliumia saana maana nilitumia cost kubwa za kumjali.

Nimefupisha story ila mwanaume mwenzangu usimuamini mwanamke.
Mwisho wa siku nikampiga chini.

Now naendelea na maisha yangu.
We umepigwa na maria
 
Haya Mambo yapo Hadi kwenye ndoa za watu.
Kuna wanaume ambao wanalea watoto ambao zio damu zao kabisa.
 
Hawa viumbe akili hamnazo inabidi kila kitu anachokwambia hata kama ni kweli inabidi uwembishi bila hivyo kuingizwa chaka ni kugusa tu
 
Hv inakuajee kijana una hata mtt mmoja unaendaa pendaa single mama na kutakaa kuoaa kbs ,uoni nikutanguliwa goli Moja bilaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Mbona tunajitukana wenyewe??, Chanzo Cha tatizo hili ni jinsia zote mbili.

Humu ndani nani hana mtoto wa nje??, Nyinyi wenyewe mmediriki kukataa ndoa. Nani Sasa atawaoa hao mabinti??

Kiufupi sisi wenyewe ndio tumeharibu mfumo, ukienda huko vyuoni ni shida, watu wanaishi ndoa bubu zaidi ya miaka 3 Kisha wanatemana.

Sasa unategemea huyu mtu ataleta jipya kwenye mahusiano au ndoa??
 
Wakuu kwema

Kuna mkasa naomba ni share na nyinyi hapa ulinitokea last year. Nilipitia kipindi cha sonona ila badae nilikuja kukaa sawa na sasa hivi life goes on ila siwezi sahau.

Ilikua hivi mwishoni wa mwaka 2020 nilianzisha mahusiano na dada mmoja alikua ni single mama tukaendelea mwaka jana kwenye mwezi wa 7 akanimbia ana mimba hii ilikua ni furaha sana kwangu basi kwakua nilikua namuamini nikaanza kulea mimba bado ikiwa changa kabisa basi bana .

Nikawa naongeza matunzo nikafungua mpka account ya benki kwa ajili ya mtoto wangu ajaye

Picha linaanza miezi inaenda tumbo halikui nikamuambia mbona tumbo lako bado dogo sana akasema yeye hana tumbo kubwa nikamuambia sawa . Mimba inakaribia miezi mitano hajawahi niambia habari za clinic

Nikamwambia mbona huendi hata Kliniki akasema sio lazima ataenda .

Nikaanza kupatwa wasi wasi nikimuambia tukutane kimwili hataki analeta visingizio kibao.
Na wakati yeye ni moja kati ya wale wanawake wakiwa na hamu wanakujaga wenyewe bila hata kumwambia.

Nikamuambia kuanzia leo sitakupa hata mia yangu mpaka nione hyo mimba akawa mbogo na mm nikawa mbogo baada ya mvutanoo saana akaja kukubali kuwa hakua na mimba Alinidanganya aone respond yangu

Daaah asikuambie mtu niliumia saana maana nilitumia cost kubwa za kumjali.

Nimefupisha story ila mwanaume mwenzangu usimuamini mwanamke.
Mwisho wa siku nikampiga chini.

Now naendelea na maisha yangu.
Koma
 
Back
Top Bottom