Wakuu kwema ?
Kuna jambo huwa linanishangaza saana yaani katika familia yetu au baadhi ofisini nilifanya jambo linakuwa linaongelewa sana liwe baya liwe zuri yaani maneno yankua hayaishi..
Likiwa baya nakua attacked saana na familia yaani Kila mwana familia anapigiwa simu na kupewa taarifa mpaka huwa nashangaa sana..
Na unakuta mtu anafanya jambo sawa na Mimi lakini yeye Wala huwezi sikia akiongeleawa popote utasikia kimya kama hakuna kilichotokea.
Kuna watu wengi sana waniombea mabaya niaharibikiwe kazini ila wapate kuthibitisha maneno yao na Mwenyezi Mungu anaendelea kunipigina huku akiendelea kunifungulia milango.
Sasa hii Hali huwa inanishangaza sana kwakweli.
Je hii Hali ukishakutana nalo na umewezaje ku deal nalo?