Aliniambia siendani naye na mimi ni mshamba, sasa hivi hachoki kupiga simu kuomba msamaha!

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Wakuu kwema, hope mna weekend njema.

Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi. Nilimwambia tu sawa nashukuru.

Leo hii anakuja kunitafuta ananiomba msamaha, anapiga sana simu leo ni siku 5 hachoki kupiga simu na kutuma message eti alikosea zilikua ni hasira tuu.

Wanawake wengine ni takataka kabisa!
 
Bro kiufupi Kama una hela, mnunulie kioo awe ana jiangalia.
Nadhani ata jutia ujinga wake🤓.
FB_IMG_16854885764003555.jpg
 
Wakuu kwema

Hope mna weekend njema

Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu..
Aliniambia kuwa Mimi siendani naye, Mimi. Ni mshamba, na Hana hisia na Mimi. Nilimuambia tuu sawa nashukuru.

Leo hii anakuja Kunitafuta ananiomba msamaha anapiga sana simu Leo ni siku 5 hachoki kupiga simu na kutuma message eti alikosea zilikua ni hasira tuu

Wanawake wengine ni takataka kabisa.
Acha utoto samehe
 
Piga chini huyo mkuu
 
Back
Top Bottom