Masaada mimi nimeshindwa

Masaada mimi nimeshindwa

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,012
Wadau nina Samsung galax A50

Hii simu bana nikienda sehemu ya baridi ina ji freeze kabisa yaani ina ji restart kila wakati yaani kifupi haitaki baridi kabisa msaada wadau nifanyeje?.
 
Sijajua upo wapi mkuu ila baridi sana ndio inaathiri battery, tafuta cover ama pochi ambalo litazuia huo ubaridi.

Kama simu nyengine zinafanya kazi vizuri ulipo badili battery lako.
 
Sawa mkuu nitabadili betri
 
Back
Top Bottom