Search results

  1. Invigilator

    Hatimisho: Nimefika salama Marekani

    Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kukamilisha ndoto zangu. Pili napenda kuwashukuru wadau wakubwa humu jukwaani kwa support kubwa ya mawazo tangu nilipoweka nia ya kuondoka nchini kwetu, Mungu awabariki sana (wote mnaotambua uwepo wake na utendaji...
  2. Invigilator

    Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

    Salamu wakuu, Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii. Namuomba sana Mwenyezi Mungu...
  3. Invigilator

    Mwendelezo. Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Natumaini hamjambo nyote. Kwanza kabisa nitumie fursa hii kuwashukuru kwa wote mlionitia moyo na kuniongezea hamasa ya kupambana katika kutimiza adhma yangu ya kwenda kusoma Marekani. Baada ya kuchambua ushauri wenu katika sehemu iliyopita, ningependa kuwajulisha hatua niliyofikia na ikiwa...
  4. Invigilator

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Wakuu salaam, Awali ya yote namshukuru sana M. Mungu kwa nafasi hii adhmu niliyobahatika kupata. Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikihangaika kuboresha maisha yangu ndani na nje ya nchi. Mara tu baada ya kuhitimu tu masomo ya elimu ya juu, niliamua kusafiri kwenda bara la Asia nchi za Gulf kutafuta...
  5. Invigilator

    Msaada: Ndugu yangu amepooza kuanzia kiunoni kushuka miguuni

    Wakuu Salaam, Ndugu zangu ni mwezi wa tano sasa tangu ndugu yangu (Me) amepata tatizo la afya la kupooza kuanzia maeneo ya kiunoni hadi miguuni. Kiuno na miguu haifanyi kazi kabisa, hawezi kufanya chochote bila kupata usaidizi,kama familia tunaumia sana maana ni kijana mdogo (20s). Tumejaribu...
  6. Invigilator

    Plot4Sale Nauza eneo/kiwanja - Mwanza

    Nauza eneo/ kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa makazi. Mahali:Nyashishi - Mwanza. Kilometre 1.5 kutoka barabara kuu ya lami, Mwanza - Shinyanga. Aina: Tambarare,kubwa na zuri kwa ujenzi. -Halina mawe kabisa ndani yake. -Linafikika kwa gari na watu wamejenga jirani. -Halina mgogoro wowote na hati...
  7. Invigilator

    Ni jinsi gani naweza kupata 7.5 band ya IELTS?

    Wakuu salam; Nina mpango wa kujiendeleza kielimu nje ya nchi,miongoni mwa vyuo vingi ambavyo nimekuwa nikituma maombi wanahitaji pia cheti ya kuthibitisha ujuzi wa lugha ya kingereza yaani IELTS au TOEFL. Hivyo nimedhamiria kufanya IELTS mwishoni mwa mwezi huu,nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye...
  8. Invigilator

    Kuuza bidhaa katikati ya barabara si busara

    Wakuu salaam; Katika pilika pilika zangu za hapa na pale nimekutana na hali ambayo kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atakubariana nami kuwa huku sio kuwajali au kuwapenda wafanyabiasha wadogo maarufu kama (machinga), bali ni kuwajaza ujinga na kuwahatarishia maisha yao na (wao pia kujiweka...
  9. Invigilator

    Unafiki uliofichika katika kauli ya ''Uzalendo''

    Ndugu zangu salamu; Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema,kwa zawadi ya uhai anayozidi kutupatia sisi waja wake. Katika siku za hivi karibuni hasa katika kipindi hiki cha miaka mitano iliyopita, miongoni mwa maneno yanayotumika zaidi mojawapo ni UZALENDO. Uzalendo...
  10. Invigilator

    Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

    Wakuu, kwa hali ya mambo ilivyo ni dhahiri kuwa kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali, mwenye mapenzi ya dhati na nchi yake na pia mwenye kuheshimu utu na haki za raia wenzake, kamwe hawezi kufurahishwa na ujinga huu unaondelea hapa nchini unaoitwa siasa. Sote tunafahamu siasa inapofanyika kwa...
  11. Invigilator

    Katibu Mkuu wa CCM ana mamlaka ya kumfukuza kazi Mwenyekiti NEC na Waziri?

    Leo nimefuatilia mkutano wa Chama Cha Mapinduzi - CCM ulioongozwa na katibu mkuu wa chama Dk Bashiru wakati akizungumza na wajumbe wa chama hicho mkoa wa Magharibi mjini,Unguja,Zanzibar na kumsikia akitamka maneno yafuatayo; "... nilitaka nijue,maana mimi nisingekwenda.Nilimpigia jaji Mtungi...
  12. Invigilator

    Kibonzo hiki kina tafsiri gani?.DW - ziara YA rais wa Congo nchini Tanzania

    Baadhi ya mambo ninayoyaona yasiyo sawa ni; 1:Kusalimiana kwa wahusika (kwa mikono ya kushoto). 2:Pili hakuna maneno(matamshi) yoyote katika salamu (Blank space in conversation box)!!. 3:Facial expression ( nonverbal communication) za wahusika,haziendani kupatana (katika mkutadha wa salamu)...
  13. Invigilator

    Uganda: Mama amlisha mtoto wake damu ya hedhi na bilinganya

    Mwanamke mmoja anaefahamika kwa jina la Annet Namata nchini Uganda amempa mtoto binti yake wa kambo chakula alichokichanganya na damu yake ya hedhi. Baada ya kula chakula hicho ambacho damu ya dada huyo ilichanganywa na mchuzi wa biringanya mtoto huyo alianza kutapika mfululizo nje...
  14. Invigilator

    Katibu Mkuu CECAFA - adai yanga si chochote kujitoa kwao hakutaathiri mashindano,hata wakishiriki wamezoea kubamizwa magoli mengi

    "Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama...
  15. Invigilator

    Msaada: Jinsi ya kupata Visa - Dubai

    Salaam Wakuu; Nimekusudia kuondoka nchini hivi karibuni kwa ajili ya kwenda nje ya nchi kutafuta fursa za kazi(professional & unprofessional),sehemu niliyokusudia kwenda ni Dubai(UAE). Gharama za safari na accommodation kwa ujumla ninazo,na NAHITAJI KWENDA KWA NJIA HALALI. Niko hapa mbele yenu...
  16. Invigilator

    Naomba kufahamishwa mawakala wa kutafuta nafasi ya masomo nje ya nchi

    Salaam Wakuu. Natafuta Abroad/Overseas Education Agency, ambao wanaweza kunisaidia kupata Chuo nje ya nchi,hasa nchi za Nordic na Ulaya Mashariki(Russia & Ukraine) katika Ngazi ya Masters. Hivyo,napenda kufahamishwa ma agent waaminifu wa vyuo vya nje ya nchi,wenye gharama nafuu pia...
  17. Invigilator

    Ipi kozi bora ya shahada ya uzamili kati ya hizi?

    Habarini wana Jukwaa, Napenda kusaidiwa kufahamu ni course gani zinaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu aliyesoma Bachelor Of Arts With Education (BAED) katika masoma Linguistics & Literature, katika ngazi ya Masters,kati ya hiz 1:MASTERS IN LEADERSHIP & GOVERNANCE 2:MASTERS IN CURRICULUM STUDIES...
  18. Invigilator

    Ni picha/vibonzo gani ambazo huwa zinakuchekesha pindi unapoziona?Mimi ni hizi

    Wakuu kama una picha,kibonzo unaweza kuongeza hapa,karibun jaman tufurahie kidogo weekend!!..
  19. Invigilator

    Indonesia yapitisha sheria Mpya kukabiliana na walawiti!

    Hii nimeipenda sana,ipitishwe na huku kwetu aisee,hasa mikoa ya huku Pwani na Kilimanjaro (Moshi) huu ushenzi uishie mbali kabisa[emoji16] [emoji16] [emoji16] ======= Indonesia could "wipe out" paedophilia with its new policy of chemical castration, President Joko Widodo has told the BBC. He...
Back
Top Bottom