Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,207
- 5,990
Natumaini hamjambo nyote.
Kwanza kabisa nitumie fursa hii kuwashukuru kwa wote mlionitia moyo na kuniongezea hamasa ya kupambana katika kutimiza adhma yangu ya kwenda kusoma Marekani.
Baada ya kuchambua ushauri wenu katika sehemu iliyopita, ningependa kuwajulisha hatua niliyofikia na ikiwa kuna uwezekano mnisaidie ushauri ni nini nifanye kutatua changamoto niliyokutana nayo tena.
Hadi sasa, nimefanikiwa kujaza DS 160, kuhakiki na kuituma (online). Pia nimefanya malipo ya USD 160.
Baada ya hapo nimelipa SEVIS 350 USD na nime arrange interview, nimepata mwezi August tarehe 12, saa 3 : 15 asubuhi. Namuomba Mungu anisaidie nipate Visa, mniombee pia rafiki zangu.
Nilikuwa naomba kujua mambo mawili.
1 Je, naweza ruhusiwa kutumia Bank statement ya iliyotolewa kuanzia mwezi April kurudi nyuma siku ya interview? kama certification ya finance ya sponsor wangu?
2. Baada ya interview nitakuwa na siku chache sana zisizozidi 10,ambazo natakiwa kuondoka ndani ya siku hizo (ikiwa Mungu atanifanikisha). Kufanya booking ya ndege ndani ya siku hizo itani-cost sana.
Nawezaje kufanya booking at least kuanzia sasa ili nipate punguzo la gharama? Itanibidi kutumia pesa? habari gani nikikoswa Visa.
Natanguliza shukran, nisaidie wajuzi msinichoke.
Wasalaam.