Ipi kozi bora ya shahada ya uzamili kati ya hizi?

Invigilator

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
3,203
5,995
Habarini wana Jukwaa,
Napenda kusaidiwa kufahamu ni course gani zinaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu aliyesoma Bachelor Of Arts With Education (BAED) katika masoma Linguistics & Literature, katika ngazi ya Masters,kati ya hiz
1:MASTERS IN LEADERSHIP & GOVERNANCE
2:MASTERS IN CURRICULUM STUDIES
3:MASTERS IN PUBLIC ADMINISTRATION
4:MASTERS IN ED MANAGEMENT & ADMINISTRATIONS
5:MASTERS IN HUMAN RESOURCES
6:MASTERS IN BUSINESS ADMINISTRATION
Wasalaam:
 
Bora namba mbili. hizo zingine kama huna msingi nazo zitakusumbua. mfano hiyo namba 5, halafu itokee ujisikie kwenda Mzumbe Morogoro kule ukutane na akina Dr. Milanzi, Mr. Nyaruba, Dr, Kineno hahahah, utateseka sana kwa kuwa huna kajimsingi. endelea na hiyo namba 2. ndio ushauri wangu
 
Ahsant sana kiongozi,vip lakn ajira zake naweza pata?.
 
Habarini wana Jukwaa,
Napenda kusaidiwa kufahamu ni course gani zinaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu aliyesoma Bachelor Of Arts With Education (BAED) katika masoma Linguistics & Literature, katika ngazi ya Masters,kati ya hiz
1:MASTERS IN LEADERSHIP & GOVERNANCE
2:MASTERS IN CURRICULUM STUDIES
3:MASTERS IN PUBLIC ADMINISTRATION
4:MASTERS IN ED MANAGEMENT & ADMINISTRATIONS
5:MASTERS IN HUMAN RESOURCES
6:MASTERS IN BUSINESS ADMINISTRATION
Wasalaam:
Dah mkuu Umefanya la maana sana kuweka huu uzi hapa maana tupo in same course tunaweza jifunza kitu. Halafu kwani hivi kuna course zingine za masters ambazo unaweza access through BAED au ndiyo hizo tu? Naomba tujuzane zaidi
 
Zipo nyingi Mkuu ila sema nimejaribu kuwashirikisha watu wanapendekeza hizi zinaweza kuwa na msaada mkubwa,zingine ni kama,
1:MASTERS IN PSYCHOLOGY
2:MASTERS IN PUBLIC HEALTH
3:MASTERS IN PUBLIC ADMINISTRATION
4:MASTERS IN INTERNATIONAL RELATIONS
5:MASTERS IN CONFLICT SOLVING
6:MASTERS IN SECTOR PLANNING
7:MASTERS IN THEOLOGY STUDIES
8:MASTERS IN ADULT & SPECIAL EDUCATION.
 
PIA NAOMBA KAMA KUNA MTU ANAWEZA KU SHARE HUU UZI KWENYE JUKWAA LA HABARI MCHANGANYIKO AFANYE HIVYO ILI TUPATE MAWAZO MENGI.
 
Back
Top Bottom