Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,207
- 5,990
Wakuu salam;
Nina mpango wa kujiendeleza kielimu nje ya nchi,miongoni mwa vyuo vingi ambavyo nimekuwa nikituma maombi wanahitaji pia cheti ya kuthibitisha ujuzi wa lugha ya kingereza yaani IELTS au TOEFL.
Hivyo nimedhamiria kufanya IELTS mwishoni mwa mwezi huu,nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye ujuzi na ufahamu anisaidie kujua yafuatayo.
1.Upo uwezekano wa kufanikiwa kupata score band ya 7.5?.
2.Ugumu wa mitihani hii uko vipi?.na jinsi gani naweza kujiandaa nikafaulu vizuri.
3.Nawezaje kupata papers na materials ya ziada?.
Natanguliza shukran.