Search results

  1. HAZOLE

    Kipanya na TFF

  2. HAZOLE

    Malimbikizo ya mshahara 2015-2019 kwa aliyeacha kazi

    Umofia Kwenu! Wakuu mimi niliacha kazi (resign) serikalini mwaka 2019. Nimesikia malimbikizo ya nyongeza ya mshahara yatatolewa kwa 2015 kuja 2021. Je, mimi nahusika hapo kujaza na kufuatilia pale zoezi litakapoanza? Naombeni ufafanuzi kwa wajuzi
  3. HAZOLE

    Kwa anayeijuwa vema Kahama kibiashara; sifa zake

    Wakuu habari, Ninampango mwezi june niende Kahama Manispaa kuishi na kufanya biashara mbalimbali kama duka la vinywaji laini la jumla na rejareja au biashara ya viatu na sandals za kike na mix na mayeboyebo mpaka mabuti. Kwa mliopo kahama naomba kujuwa masoko makubwa yenye watu wengi ili kuwa...
  4. HAZOLE

    Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Wajuzi naomba msaada. Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa. Msaada
  5. HAZOLE

    Kwanini Wanajeshi huagwa kwa gwaride?

    Umofia kwenu! Nipo msibani kafariki mwanajeshi. Wanajeshi wanamuaga kwa gwaride na almost msiba wote wameuchukua wao. Ndugu wamepata nafasi ndogo sana. Hii ni kwanini na historia ipoje wakuu? Watu wote huzuni ziliwatoka wakabaki wanashangaa gwaride.
  6. HAZOLE

    Nataka kuwa mwandishi naombeni ushauri

    Wakuu, Binafsi nina uwezo wa kuandika makala, proposals, habari nk ingawa kitaaluma nina Degree ya Business Administration in Marketing Management. Lengo niwe na taasisi yenye kutoa msaada au huduma kwenye maeneo hayo. Naomba mwenye uelewa au fursa za hii huruma anisaidie uzoefu na jinsi ya...
  7. HAZOLE

    Huduma ya uandishi wa masters proposal, dissertations na academic paper review/editing

    Wakuu, Mimi ni academician. Natoa msaada wa kufundisha uandishi wa proposals, concept note, thesis, dissertation, final.reports kwa undergraduate na postgraduate. Pia guidance ya kufanya data analysis hasa quantitative data analysis. Kwa kwenye uhitaji naomba PM Pamoja sana.
  8. HAZOLE

    Kiwanja kinauzwa Mtwara

    Wakuu habari, Ninauza kiwanja mkoa wa mtwara. Mahali: ziwani/mtawanya Bei: 1,500,0000 Ukubwa ni nusu eka. Kipo katikati ya makazi ya watu siyo shamba. Pia kuna minazi, migomba na maji yako karibu. Mawasiliano 0767464811
  9. HAZOLE

    Ushauri wa biashara ya maziwa na fresh foods kwa jijini mbeya

    Ninampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini. Naomba nijue yafuatayo kwa uzoefu wako ktk hii tasnia ya fresh foods. 1. Location iweje 2. Usimamizi pale unapoweka MTU wa kuuza 3. Changamoto zake mfano wateja, muuzaje...
  10. HAZOLE

    KILIMO CHA PARACHICHI MBEYA VIJIJINI

    WAKUU WASALAAM! AU MWAGONA! MIMI NINAPENDA KUANZA MCHAKATO WA KUNUNUA MASHAMBA NIPANDE PARACHICHI ZA KISASA HAPA MBEYA MAENEO YA MPOROTO, ISYONJE, MBOZI. NAOMBA MNIJUZE CHANGAMOTO ZA HICHI KILIMO; 1. ULINZI WA MAZAO YAKISHAKOMAA 2. USIMAMIZI KIUJUMLA 3. AOB PIA NAOMBA KWA WALIOPO MBEYA WANIJUZE...
  11. HAZOLE

    Tatizo ni mimba au nini jamani kwa mke huyu kawa mkali?

    Wakuu habari, Nina mke na mtoto mmoja mkubwa. Sasa wife anamimba ya pili 3months. Sasa amekuwa mkali na kununa sana. Pia amekuwa mchunguzi sana yaani haniamini. Kila siku hushika simu yangu na kutazama mawasiliano kama akikuta ni ya mwanamke anaanza ugomvi na huchukuwa zile namba na kuziblock...
  12. HAZOLE

    Bidhaa za urembo zinapatikana wapi Dar?

    Wanajamvi, Mimi najishughulisha na uuzaji wa bidhaa za urembo hasa cheni, pete, nywele kama wigi na wiving, hereni, kucha, n.k Nimeshawahi kununua mzigo Kariakoo mchikichini street. Sasa naweza kujua sehemu nyingine kwa Dar wanapouza kwa bei ya jumla ambazo ni bei nafuu zaidi ya Kariakoo? Mfano...
  13. HAZOLE

    Madhara ya pombe kiafya na kutibu

    Wakuu heshima kwenu. Kama MTU alikuwa mnywaji wa pombe wa kiwango cha kati na ameacha.je mwili wake mfano utumbo, ini,figo utakuwa umedhurika. Je apate diet ipi au ale vyakula gani sana kuondoa hizo sumu? Au kuna dawa yakutoa sumu mnijuze. Ahsante
  14. HAZOLE

    Kufanya mapenzi, kunyonyesha mtoto na kubemenda, Msaada tafadhali

    Habari wana jf, ninaswali kwamba je, mama ambaye ananyonyesha mtoto (labda miezi 3, 5, mpaka 8) akiwa anafanya mapenzi na mumewe kipindi hiki anam bemenda mtoto nikimaanisha mtoto hatakuwa anakua vizuri?? Maana nimesikia kuwa kufanya mapenzi kunachafua maziwa ya mama. Naombeni ujuzi wenu katika...
  15. HAZOLE

    Nitawezaje kuziona topic nilizoanzisha japa Jamiiforums ?

    Wana JF, Nashindwa kujua kama nimepost swali katika ukurasa husika na nikitoka JF na kurudi kwenye ukurasa husika sioni tittle ya topic niliyopost, nina tafutaje jamani? Maana niliuliza swali JF doctor lakini siioni hiyo topic yangu ili nifuatilie majibu, msaada ndugu zangu. Au kama kuna...
  16. HAZOLE

    Mtoto kuumwa tumbo na kutoa haja kubwa yenye chengachenga=msaada wa ushauri

    Habari wana jf, nina mwanangu alizaliwa sept 2, amekuwa akionyesha hali ya kama anaumwa tumbo kwa kulia lia na wakati mwingine ananyonya halafu anaanza kulia. Wengine wanasema maziwa ya mama yake ni mazito sana kwahiyo hayasagiki vizuri tumboni,kwa hiyo tumpe maji vuguvugu vijiko viwili vidogo...
  17. HAZOLE

    Kuachiwa huru kwa liyumba: Nani alimsingizia kuwa anasimu na kwa malengo gani??

    hakimu wa mkazi kisutu amemwachia huru. jamaa anarudi mtaani
  18. HAZOLE

    Mikopo kwa vyuo vya nchi za nje e.g uganda

    habari ndugu zangu, Hivi bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa vyuo vya nje kama Uganda (e.g. Makerere), Kenya, Zambia nk. Tafadhari mwenye taarifa naomba anisaidie, ni kwa masters na PhD. Ahsante
  19. HAZOLE

    Nataka kuwa agent wa taasisi yoyote-nichangieni mawazo

    habari wana JF, ninampango wa kuwa agent wa taasisi yoyote e.g kutoa bima etc. naombeni list ya taasisi ambazo ninaweza kuwa agent kwa taasisi zinazotoa huduma na si bidhaa. hii naona haitanipa shida ya mtaji, ofisi ninayo. mkoani
Back
Top Bottom