HAZOLE
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,551
- 712
Wanajamvi,
Mimi najishughulisha na uuzaji wa bidhaa za urembo hasa cheni, pete, nywele kama wigi na wiving, hereni, kucha, n.k
Nimeshawahi kununua mzigo Kariakoo mchikichini street. Sasa naweza kujua sehemu nyingine kwa Dar wanapouza kwa bei ya jumla ambazo ni bei nafuu zaidi ya Kariakoo? Mfano wanaouza kwa kupima kwa kilo hasa hereni, pete, cheni??
Naomba wafanyao au wenye ujuzi na business hii tupeane taarifa tujikwamue.
Ahsante