HAZOLE
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,551
- 715
Wakuu,
Binafsi nina uwezo wa kuandika makala, proposals, habari nk ingawa kitaaluma nina Degree ya Business Administration in Marketing Management.
Lengo niwe na taasisi yenye kutoa msaada au huduma kwenye maeneo hayo.
Naomba mwenye uelewa au fursa za hii huruma anisaidie uzoefu na jinsi ya kuanza.
Natanguliza shukrani