Wakuu habari,
Ninauza kiwanja mkoa wa mtwara. Mahali: ziwani/mtawanya
Bei: 1,500,0000
Ukubwa ni nusu eka.
Kipo katikati ya makazi ya watu siyo shamba. Pia kuna minazi, migomba na maji yako karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.