Search results

  1. loulla

    Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

    niliskia kuna njia ya kuchanja, tafadhali menye ufahamu anisaidie kumpata mtu anaetibu. Ndugu yangu amekunywa dawa za bei sana mpaka sasa hajapona.
  2. loulla

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    sipo kwenye hayo madude..kama ulizani mimi seeker, pole sana, nna kazi yangu wala sihangaiki. Nauliza maana mapost haya kila nikifungua nayakuta, hivyo tu..
  3. loulla

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    hivi hawajaitwaga oral mpaka leo
  4. loulla

    Wapi naweza kupata motherboard za dell desktop computers

    machinga complex floor ya kwanza, ni desktop tupu
  5. loulla

    Nimehitimu kidato cha sita natafuta kazi

    ingia ajira portal ya serikali kuna nafasi za advance sec uapply
  6. loulla

    Chuo bora zaidi kwa computer science

    Ndugu, nenda chuo chochote ambacho kinatoa iyo kozi. Mpaka kimeruhusiwa kutia maana yake kimekidhi vigezo, mengine ni ziada ya mwanafunzi mwenyewe. Vyuo vyote vinamfumo wa kulecture that means lecturer anakupa yake at very minimal amount wewe kama mwanafunzi unaenda deeper. Kama hautakua...
  7. loulla

    Kiingereza Cha Wabongo.

    sio kama hawajui, either hawajacare kama vile badala ya before mnaandika b4 n.k au anasababu zake binafsi. Naamini unaweza jua lugha ila spelling zikakupa shida kutokana na jinsi unavyocare. Pia huwezi nyoosha stentensi ya maneno magumu yote iyo alafu neno feel likakupa shida wakati linatumika...
  8. loulla

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo, nipo mwaka wa 3! Natafuta kazi yoyote

    Jiunge na dent uuze vocha bure https://jamiiforums.com/r56SdaG1UX pia tafta sehem za field zinazolipa au temps hata za migaawani
  9. loulla

    Anatamani mtoto anaefanana na mimi

    https://jamiiforums.com/r56SdaG1UX
  10. loulla

    Namshauri kocha Amunike ajiuzulu, asisubiri kufukuzwa

    jaman kocha hana kosa, safar yoyote huanza na single steps, haikua rizki tu, ni kocha uyo uyo katuingiza kwenye mashindano ambayo ni miaka mingi tukiyashiriki, asiekubali kushindwa si mshindani kwani kocha ndo aliwafanya wapaishe mipira juu ya gori? What if isinhepaa ikaingia kocha uyo uyo...
  11. loulla

    Natafuta kazi yoyote, nimemaliza kidato cha sita

    kwanini uspate vocha ya bure kwa mfano embu jiunge hapa https://jamiiforums.com/r56SdaG1UX
  12. loulla

    Msaada: Tatizo la kujaa internal storage ya simu

    get free vouchershttps://jamiiforums.com/r56SdaG1UX
  13. loulla

    Jamani mbona vitu vimepanda ghafla

    Maisha magum wewe jiunge tu na dent upate free vocha ili ela ya vocha ikusaidie kwa mambo mengine, vuna 10000 daily https://jamiiforums.com/r56SdaG1UX
  14. loulla

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    hawataki ufe kwa malaria ila kwa kitanz....duh Sent using Jamii Forums mobile app
  15. loulla

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    BECOME OUR AGENT waitechtz gives us 25% of customer's service charges as a commission when you refer someone. Simply register to via www.waitechtz.com For more information/ queries: call: +255(0)714939570 +255(0)744939577 +255(0)744556389 email: info@waitechtz.com Sent using Jamii Forums...
  16. loulla

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    hivi jamani hichi kidude si ata kuku anacho? au me naelewa tofauti Sent using Jamii Forums mobile app
  17. loulla

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    ni Christ mass, misa ya Yesu na sio christ birthday..just kukumbuka !
  18. loulla

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    hivi uchunguzi wa kupigwa risasi mh Tundu Lissu ilifikia wapi, kama skosei pia walisema hawaitaji wachunguzi wa nje nakua tunajitosheleza. Nakumbushia tu, its a year now!
Back
Top Bottom