mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Hata Mimi pia nimewaza kitu Kama hicho mkuu.Kwa kuangalia tu ww una asili ya uvv..shule zote hizo dar...mie nimekaa dar 1 month..kuna katoto nikawa naishi nako kao form1..hakajui kbs hesabu.nikaanza kukafundisha kila siku nkitoka kwenye mishe.kifup akawaleta wenzake wa4.ww unashindwa nn kutafta?tena masomo ya science unalamba bingo.fanyia hapo hpo unapoishi...tafuta denti 1 mfundshe ataleta na wengine
Kufundisha tuition sio kazi official inategemea tu kujiongeza kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app