Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?

Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.

Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.

Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.

USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.

Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.
Nakubali kwa asilimia zote
 
My project.jpg
 
Si kweli naona ni upungufu tu wa akil...
 
ukiona hvyo yan huyo mwanamke alikukubali coz alikuwa anashida za kiuchumi au maden huko kwao lakin wengi walioana kwa true love watu wanaish vizur tu
Acha ujinga wewe, unadanganyaje Watu wazima kizembe hivyo nakati mitaani tunawaona na hata kwenye madawati ya jinsi ya Ke na Watoto wameachika sana kwa sababu hizo hizo za biashara & kazi?
 
Back
Top Bottom