Natafuta kazi yoyote, nimemaliza kidato cha sita

bilemasome

Member
Oct 31, 2016
51
8
Amani iwe nanyi wakuu.

Elimu yangu ni ya kidato cha sita nilichukua PCM. Naombeni msaada wenu ni wapi naweza kupata kazi walau kipato ntakachokipata kupitia hiyo kazi kiweze kunisaidia kuendelea na shule mwakani.

Ahsante.

Contacts zangu ni hizi hapa: 0716 345089
 
mkuu . ukipata kama kuna angalau nafasi namimi unistue mana hali mbaya . elimu form six PCB
 
Nenda jkt dogo utajifunza vitu vingi mno katika kuyakabili mazingira kama kilimo cha bustani na ufugaji na kazi nyengine..
 
kwanini uspate vocha ya bure kwa mfano embu jiunge hapa https://jamiiforums.com/r56SdaG1UX
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom