Kiingereza Cha Wabongo.

sio kama hawajui, either hawajacare kama vile badala ya before mnaandika b4 n.k au anasababu zake binafsi. Naamini unaweza jua lugha ila spelling zikakupa shida kutokana na jinsi unavyocare. Pia huwezi nyoosha stentensi ya maneno magumu yote iyo alafu neno feel likakupa shida wakati linatumika sana hata kama lugha mtu ajui kabisa.
 
Chezea kidhungu weye!!
Mawakili wa serikali wameomba watumie/kitumike kiswahili.
 
Kaandika Daud Albert Bashite the F F F F F so unatarajia nini apart from aibu to aibu..............
 
Watz wengi kiswahili wanakijua vizuri.Sema sometimes wanafanya makusudi kama swaga fulani tu kutumia baadhi ya maneno kimakosa Kama hayo uliyoyaorodhesha.

Ungekuwa ni mwalimu wa shule za msingi, sekondari na hata vyuo pengine ungekuja na maoni tofauti ya ulichoweka au kuandika hapa...Kuna tatizo kubwa la msingi kuhusu lugha iwe ni Kiswahili au Kiingereza nchini mwetu Tanzania...Nammkumbuka Mchina kwenye taasisi moja ya elimu aliyepata alama A kwenye Kiswahili na kuwaacha maelfu kwa maelfu ya wenzie wanafunzi nchini wakiambulia karai (C) na wengine hata kufeli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom