Chuo bora zaidi kwa computer science

Ndugu, nenda chuo chochote ambacho kinatoa iyo kozi. Mpaka kimeruhusiwa kutia maana yake kimekidhi vigezo, mengine ni ziada ya mwanafunzi mwenyewe. Vyuo vyote vinamfumo wa kulecture that means lecturer anakupa yake at very minimal amount wewe kama mwanafunzi unaenda deeper.

Kama hautakua devoted, computer science ni ngumu..maana utakutana na vitu ambavyo hukuwai kuviona wala kuvifikiria huenda. Ila ukijituma, hakuna kigumu wala kisichowezekana duniani.
 
Umemaliza kaka mkubwa akiendelea kuuliza atakuwa na matatizo
 
Habar za muda huu wajomba, ni chuo gani bora zaidi kwa kusoma degree ya computer science?

Chuo Bora cha Computer ni :

Stanford University

School of Computer Engineering,

Silicon Valley,California

United States of America!

Haya,katiza hapo kama una mbavu!
 
Ndugu, nenda chuo chochote ambacho kinatoa iyo kozi. Mpaka kimeruhusiwa kutia maana yake kimekidhi vigezo, mengine ni ziada ya mwanafunzi mwenyewe. Vyuo vyote vinamfumo wa kulecture that means lecturer anakupa yake at very minimal amount wewe kama mwanafunzi unaenda deeper.

Kama hautakua devoted, computer science ni ngumu..maana utakutana na vitu ambavyo hukuwai kuviona wala kuvifikiria huenda. Ila ukijituma, hakuna kigumu wala kisichowezekana duniani.
Computer science sidhani kama kuna kozi ngumu kama hii
 
THE UNITED AFRICAN UNIVERSITY OF TANZANIA (UAUT) Tunatoa Bachelor of Science in Computer Engineering & Information Technology Tafuta Tanzania nzima ni UDSM pekee wanatoa course kama hiyo hakuna kwengine, Halafu Ada yake ni nafuu ni Laki Tisa kwa Mwaka na unalipa kwa awamu! Pia chuo kinatoa scholarship kama utafanya vizuri kwenye masomo yako Unapelekwa Korea kusoma Masters! Chuo kinamilikiwa na Wamisionari wa Kikorea hvyo kuna Course za ziada kama Lugha ya Kikorea, Taekwondo (Mchezo wa ngumi) karibu sana kwa maelezo zaidi check Whatsapp 0654911211 au Tembelea tovuti ya Chuo https://www.uaut.ac.tz/
 
Ndugu, nenda chuo chochote ambacho kinatoa iyo kozi. Mpaka kimeruhusiwa kutia maana yake kimekidhi vigezo, mengine ni ziada ya mwanafunzi mwenyewe. Vyuo vyote vinamfumo wa kulecture that means lecturer anakupa yake at very minimal amount wewe kama mwanafunzi unaenda deeper.

Kama hautakua devoted, computer science ni ngumu..maana utakutana na vitu ambavyo hukuwai kuviona wala kuvifikiria huenda. Ila ukijituma, hakuna kigumu wala kisichowezekana duniani.

na akijichanga mambo mengi iyo degree ataisikia kwenye mabomba
 
Back
Top Bottom