Anatamani mtoto anaefanana na mimi

Hahaaa, haingii akilini mtoto kufanana na mtu Mwingine ambaye hajahusika kwenye urutubishaji
Labdaaa...
Wazee wenye pesa watoto wao wanatakaga kuwaozesha kwenye pesa, kuna jamaa anapitaga pale na anaonekana ana mpunga sana.

Japo sijawahi muuliza bibie yule ni nani kwake ila kimachale tu nahisi mtu wake.

Nitakata kupitia njia hiyo ili nione picha linaishaje au linaendaje. Japo jana tu alinialika super nikamwambia sitawahi kuna sehem naenda nikamhisi kama kajiskia vibaya flani (am not sure sana)
 
Back
Top Bottom