Duuuu....hiyo n nouma.Wadau Wadau ASA MICROFINANCE Wametangaza Nafasi 100 Za Loan Officer Deadline Tarehe 10/04/2021
Job Opportunity at Sandvik, Warehouse OperatorWatu wa Procurment hawawezi kuapply?
hivi hawajaitwaga oral mpaka leoView attachment 1728128
Kimeumana
hivi hawajaitwaga oral mpaka leo
sipo kwenye hayo madude..kama ulizani mimi seeker, pole sana, nna kazi yangu wala sihangaiki. Nauliza maana mapost haya kila nikifungua nayakuta, hivyo tu..Wewe vp kwan, hutegemei kuitwa?
Hongera Sanasipo kwenye hayo madude..kama ulizani mimi seeker, pole sana, nna kazi yangu wala sihangaiki. Nauliza maana mapost haya kila nikifungua nayakuta, hivyo tu..
sipo kwenye hayo madude..kama ulizani mimi seeker, pole sana, nna kazi yangu wala sihangaiki. Nauliza maana mapost haya kila nikifungua nayakuta, hivyo tu..
Hivi hawajatoa tu majibu! Nataka kurudi Sumbawanga kwetu jamani.
Kama baba yako hayuko kwenye mfumo wee rudi tuSasa mimi unanipa pole ya nini? Na unayafatilia ya nn kama una kazi yako. Wabongo bhana
Kama baba yako hayuko kwenye mfumo wee rudi tu
Mkuu safari ya Sumbawanga-Dar si mchezo mkuu hiyo nauli, nilikua navutavuta ili niue ndege wawili kwa wakati mmoja bana.😪Hahaa... rudi kwanza. Wakitoa utafunga tena safari
Mkuu safari ya Sumbawanga-Dar si mchezo mkuu hiyo nauli, nilikua navutavuta ili niue ndege wawili kwa wakati mmoja bana.
Sisi watoto wa wanyonge tunalima zetuItafahamika mbele ya safari.
Maana ukiwaza mifumo unaweza kuacha kabisa kufanya interview. Hamna sehemu mifumo haipo
Sisi watoto wa wanyonge tunalima zetu