Search results

  1. MOSintel Inc

    Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  2. MOSintel Inc

    Wanahitajika vijana 20 wenye ujuzi wa Microsoft Powerpoint & Word

    👥 WANAHITAJIKA VIJANA 20 1. Wenye stadi, uzoefu na ujuzi katika kutumia "MICROSOFT POWERPOINT" na "MICROSOFT WORD" 2. Wenye muda wa ziada wa masaa matatu(3) hadi manne(4) kwa siku. 3. Wenye kazi kuanzia 2 hadi 4 za "Microsoft PowerPoint Presentation" walizowahi kufanya hapo awali. 4. Wenye...
  3. MOSintel Inc

    Nahitaji setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked

    Ahsante ndugu. Eneo nililopo mtandao ni wa shida that's why nilihitaji ambazo zipo tayari kwa ku install tu.
  4. MOSintel Inc

    Nahitaji setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked

    Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie. Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya kunywa kwa kutumia muda wako. Natanguliza shukrani.
  5. MOSintel Inc

    Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    Wanasema ni unlimited...ndio nataka Ni confirm kutoka kwa wadau hapa.
  6. MOSintel Inc

    Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    wanasema hivyo ila Sina uhakika.
  7. MOSintel Inc

    Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika: 1. Installation charges ni TZS 300,000/- 2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya...
  8. MOSintel Inc

    MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  9. MOSintel Inc

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mkuu Ahsante kwa majibu. 1. Okay, kwa Brela nimekuelewa ila kwa TRA bado sijaelewa; ningependa kujua ufafanuzi juu ya faini zilizopo kwa kuchelewa kuchukua TIN NO. : ni kiasi gani cha fedha, maana hakuna makadirio yoyote ya kikodi nimezungumza na TRA hapo awali. 2. Lakini pia kwa wale ambao...
  10. MOSintel Inc

    Nahitaji maharage ya njano(gololi) na mahindi (yale mazito)

    Mkuu, karibu PM tuyajenge .
  11. MOSintel Inc

    Nahitaji maharage ya njano(gololi) na mahindi (yale mazito)

    Habari, Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki). Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe. Location: Kibaha(Boko-Mnemela). Kwa yeyote anayeweza ku-supply mzigo huo kwa wiki, karibu kwa...
  12. MOSintel Inc

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Ahsante sana mwanzilishi wa uzi huu ambao umetoa majibu mengi ya manufaa kwetu wafanyabiashara. Naomba kuuliza maswali: 1. Kampuni ikiwa imesajiliwa na ikapita miaka miwili bila kuchukua TIN NUMBER wala LESENI na kufanya TAX CLEARANCE, kuna penalties zozote TRA(kikodi) au Brela zinaweza...
  13. MOSintel Inc

    Kwa Dar, wapi nitapata "stylus pen"?

    Okay, Ahsante sana mkuu.
  14. MOSintel Inc

    Kwa Dar, wapi nitapata "stylus pen"?

    Shukrani mkuu, ngoja niwacheki.
  15. MOSintel Inc

    Kwa Dar, wapi nitapata "stylus pen"?

    Kama heading inavyojieleza: Nahitaji stylus pen inayoweza tumika kwenye any touch screen device; both Android, iOS devices or 2 in 1 laptops. Nipo Dar. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom