Search results

  1. KWEZISHO

    BBC, VOA na DW, Je mtaweza kuwahoji wabunge waliosusia Bunge?

    Leo kuna katazo la Spika Ndugai kwa waandishi wa habari kutokuhoji wabunge waliosusia adhabu ya Mh. Lema. Imekuwa ni desturi kwa vyombo vya habari kuhoji wabunge pindi wanapofukuzwa au kususia Bunge ili kuwajulisha watanzania walio na kiu ya kutaka kujua nini kinaendelea Bungeni haswa baada ya...
  2. KWEZISHO

    Snoop Dogg na Mike Tyson waingia ubia kuwekeza kwenye kilimo cha bangi

    Mwanandondi msataafu ameripotiwa kufanya kazi na mwanamuziki Snoop Doggy huku akijifinza kuhusu bangi. Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya kilimo cha bangi, amejiweka karibu na mwanamuziki Snoop ambaye nae tayari anafanya shughuli za...
  3. KWEZISHO

    Janeth Museveni: Mabinti zangu waliolewa wakiwa bikira

    Mhh, huyu mama katoa mpya! Yaani hata nashindwa kuelewa alimaanisha nini kwa hii kauli yake. Janet Museveni na mabinti zake. MKE wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Janet Museveni amesema kuwa aliwalea na kuwatunza mabinti zake vizuri hadi wanaolewa wakiwa bikira kwa kutumia njia asilia za...
  4. KWEZISHO

    Waomba ajira watengwa kwenye usaili

    Hili jambo halijakaa vizuri na wala halipendezi. Kwa kweli limenisikitisha sana: Waombaji 27 wa nafasi za kazi ya mtendaji wa kijiji daraja la III katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe wamelalamika wakidai wamezuiwa kusailiwa. Waombaji hao wenye cheti cha mipango ya...
  5. KWEZISHO

    Jambazi Atandikwa Risasi na Wenzake Mbele ya Polisi

    Hii habari inashangaza sana lakini ni kweli imetokea hapa kwetu Tanzania: Jambazi Atandikwa Risasi na Wenzake Mbele ya Polisi Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Robert Massawe (51), ambaye polisi wanadai ni mtuhumiwa wa uporaji na mauaji, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni...
  6. KWEZISHO

    Musukuma: “RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3”

    “RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3” – MUSUKUMA Mbunge wa Geita Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukuma ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa na Polisi na kulazwa rumande kwa zaidi ya saa 48 baada ya kudaiwa kuhujumu miundombinu ya maji...
  7. KWEZISHO

    Dokta Avamiwa Usiku, Achinjwa

    Dk. Izack Daniel enzi za uhai wake. DUNIA haina huruma! Ndiyo kauli unayoweza kuitoa baada ya hivi karibuni mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Dk. Izack Daniel, mkazi wa Ngarenaro, Babati mkoani Manyara, kukutwa akiwa amechinjwa kama kuku chumbani kwake na watu wasiojulikana. Chanzo...
  8. KWEZISHO

    Orodha ya watumishi wa serikali wasiokamilisha vyeti nchi nzima

    Nimeipata hii orodha ya watumishi wasiokamilisha taarifa za vyeti nchi nzima.
  9. KWEZISHO

    Harmonize na Rich Mavoko wadaiwa kuiba wimbo wa ‘Show Me’

    ‘Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko ni moja kati ya nyimbo ambazo zinafanya vizuri katika sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, katika kipindi kifupi tangu itoke. Imedaiwa kuwa, wimbo huo umeibiwa kutoka kwa msanii wa Bongo ambaye anaishi Uingereza ajulikanaye kama PCK. Akiongea na kipindi...
  10. KWEZISHO

    Huu wimbo: Nikamateni mkanitupe Segerea

    Mhh, huu wimbo balaa. Vijana wamecharuka wamechokozwa sasa wanajibu kwa sanaa!
  11. KWEZISHO

    KIWANGO CHA UHURU WA HABARI

    Leo Rais amesema Waandishi wa Habari hawana uhuru kwa kiwango wanachodhani. Je ni kiwango gani cha uhuru wa habari kilichopo Tanzania? Anayefahamu atujuze manake wengine hatufahamu hicho kiwango cha habari kilicho Tanzania ili wenzetu waandishi wa habari wasije kujikuta kwenye matatizo.
  12. KWEZISHO

    Hivi ni Nani Mwenye Paspoti Mbili?

    Katika watu walioitwa na Makonda pale Central Polisi kuna mmjawapo kati ya waliosachiwa na polisi amekutwa akimiliki paspoti mbili, je ni nani?
  13. KWEZISHO

    Siku ya Mapinduzi Rais Magufuli atakuwa Shinyanga

    Katika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano hatakuwepo Zanzibar na anatarajiwa kuwepo Shinyanga kwa shughuli maalum ambapo atahutubia Taifa. Sio vibaya kutoa udhuru wa sherehe ya Mapinduzi, lakini najiuliza hivi viongozi wa mwanzo kabla ya Rais Magufuli walishawahi...
  14. KWEZISHO

    Ishara ya Hollywood yabadilishwa kuwa ''Hollyweed''

    Jina la Hollywood lilibadilishwa na kuwa Hollyweed Raia wa Los Angeles ambao ndio majirani wa eneo la kuigiza filamu maarufu 'Hollywood' waliamka mwaka mpya na kuona kwamba ubao wa ishara ya eneo hilo maarufu umebadilishwa na kuwa 'Hollyweed'. Vyombo vya habari katika eneo hilo vimeripoti...
  15. KWEZISHO

    Hivi Mgao wa Umeme Umeishia Wapi?

    Ila mwaka huu TAANESIKO wametusamehe sana, mpaka leo hakuna mgao wa umeme!! Bado siamini. Bei mpya ni kama ilikuwa ni kupima, je wapo au wamelala??! Wangezubaa kidogo ungesikia Mabwawa ya Mtera na Kidatu yamekauka na tunaanza mgao mkali wa umeme!!
  16. KWEZISHO

    Polepole: Hii ndiyo siri ya jinsi rais Magufuli alivyopatikana

    Sio maneno yangu, ni maneno yake Pole Pole, amenena mengi, mengine mhh!! Hebu msikilize
  17. KWEZISHO

    Kama Viti Ndio Hivi Sikalii

  18. KWEZISHO

    Aliyeweka Nyama ya nguruwe Msikitini Afariki

    Picha: Kevin aliweka vipande vya nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza. Mtu aliyeweka nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti nchini Uingereza amefariki akihudumia kifungo cha miezi 12 jela. Kevin Crehan alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama ya...
Back
Top Bottom