Aliyeweka Nyama ya nguruwe Msikitini Afariki

Status
Not open for further replies.

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
7,518
Reaction score
6,524

Picha: Kevin aliweka vipande vya nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza.
Mtu aliyeweka nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti nchini Uingereza amefariki akihudumia kifungo cha miezi 12 jela.
Kevin Crehan alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama ya Bristol Crown mnamo mwezi Julai kwa kuchochea machafuko ya umma.
Vipande vya nyama ya nguruwe viliwekwa katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza.
Msemaji wa hudumu za jela hiyo amethibitisha kuwa Kevin mwenye umri wa miaka 35 alifariki siku ya Jumanne lakini akaongezea kuwa uchunguzi unaendelea.
Hakuna maelezo zaidi yaliotolewa.
Jela hiyo imekataa kutoa maelezo yoyote ya sababu ya kifo chake.
Chanzo: BBC
 
Kwahiyo mnataka kuhusisha kifo chake na kuweka kitimoto mwenye mlango Wa msikiti?

Huenda kifo chako kilikuwa kimefika kwa bahati kikaambatana na tukio alilofanya sasa hapo watataka kulhusisha kifo na hilo tukio, but hakufanya kitendo cha kiungwana kuweka nyama ya kiti moto msikitin huku akifahamu fika anawakwaza waislam.JAMBO HILO HALIKUBALIKI KABISA
 
Kwahiyo mnataka kuhusisha kifo chake na kuweka kitimoto mwenye mlango Wa msikiti?
Hapana ni tukio limetokea na mja amefariki akiwa kijana mdogo. Bado wenye mamlaka wanaendelea na uchunguzi. Tusubiri hiyo ripoti ndiyo itakayodadavua ukweli wa mauti yake.
 
Majini ya kusomewa,yakitumwa hayawz kumwacha salama.
Kesha geuzwa msukule tyr
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom