Polepole: Hii ndiyo siri ya jinsi rais Magufuli alivyopatikana

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,519
6,516
Sio maneno yangu, ni maneno yake Pole Pole, amenena mengi, mengine mhh!! Hebu msikilize
 
Wanafiki chadema wakafiri tukichukua anayegawa hela hovyo makanisani na misikitini, na mwenye mtandao mkubwa pamoja na kwamba ni fisadi atatuwezesha kwenda ikulu!!!

Mlifikiri watanzania ni wajinga kama nyie??

Shame on you
 
Hii nchi hii .. kweli ni utapeli mbele kwa mbele.

Hivi Polepole alikuwa kwenye kikao gani au mkutano upi uliompitisha MagufuliI mpaka atumie sentence za kujijumuisha kwenye uchaguzi au uteuzi!!

Anapodai tulikosea mahali kati ya 1987 na 2015 Ana maana gani?

By the way 1987 alikuwa darasa la ngapi au ni ya kuhadithiwa!!
 
Kama sikosei alikuwa na miaka 6 hivi
 
"cheo cha mkuu wa wilaya kinatakiwa kifutwe" -HUMPHREY POLEPOLE.
hayo ndiyo maneno yenye tija na maana aliyowahi kuyasema.haya anayoyasema sasa ni kujaribu kutuaminisha kuwa matapishi ni matamu!
 
Tuna kazi kubwa ya kufikia malengo haya ambayo tunaamini kuwa kwa kupitia ccm tunaweza kusonga mbele.###nasikitishwa na kilichotokea zanzibar oktoba 25.2015######
 
yote aliyokuwa akiyafanya kulikuwa ni kukosa kazi, alikuwa anasaka Tonge, ndiyo maana walipompa kile cheo alichokuwa akisema hakitakwi kuwepo, akakubali, na kelele zikaishia pale pale, mbona hakukikataa?
kwa sasa yupo kwenye streght line, huwezi kumsikia akibisha, labda kwa kutuzuga!!
 
"cheo cha mkuu wa wilaya kinatakiwa kifutwe" -HUMPHREY POLEPOLE.
hayo ndiyo maneno yenye tija na maana aliyowahi kuyasema.haya anayoyasema sasa ni kujaribu kutuaminisha kuwa matapishi ni matamu!
Anataka tuamini kuwa alikuwa ni part ya system. Kumbe ndondokela imemuangukia tu!

Usije shangaa akaja kuwa mnoko kuliko akina Nape na Mwigulu!!
 
Hakuna dhambi isiyosameheka kama ile ya unafiki. Soma vitabu vyote vya kiimani utagundua hili. Na walilinganishwa mchawi na mnafiki kwenye mjadala na nabii ISSA akasema aheri ya mchawi kuliko mnafiki.
Huyu bwana kama ni njaa basis yake imezidi na kupitiliza. Hivi huwa hajisikilizi mwenyewe kabla hajasikilizwa?
 
Wanafiki chadema wakafiri tukichukua anayegawa hela hovyo makanisani na misikitini, na mwenye mtandao mkubwa pamoja na kwamba ni fisadi atatuwezesha kwenda ikulu!!!

Mlifikiri watanzania ni wajinga kama nyie??

Shame on you
Watanzania ni wajinga mpaka kesho
 
Hahaahaah kweli njaa mbaya yaani pole pole aliekuwa anakaza sura kama sumaku Leo anatetea system
 
Wanafiki chadema wakafiri tukichukua anayegawa hela hovyo makanisani na misikitini, na mwenye mtandao mkubwa pamoja na kwamba ni fisadi atatuwezesha kwenda ikulu!!!

Mlifikiri watanzania ni wajinga kama nyie??

Shame on you
Kama alivo mama yako
 
Hii nchi hii .. kweli ni utapeli mbele kwa mbele.

Hivi Polepole alikuwa kwenye kikao gani au mkutano upi uliompitisha MagufuliI mpaka atumie sentence za kujijumuisha kwenye uchaguzi au uteuzi!!

Anapodai tulikosea mahali kati ya 1987 na 2015 Ana maana gani?

By the way 1987 alikuwa darasa la ngapi au ni ya kuhadithiwa!!
Hapa alikuwa Chuo Cha Diplomasia na alikuwa akiongea na wana CCM wenzake. Ni maajabu sana kwake kufahamu kiundani mambo anayoyaongelea. Anaposema CCM ilikosea 1987 nashindwa kuelewa ilikosea nini? Tukio kubwa lililokuwepo Mwaka 1987 ni Mkutano Mkuu wa CCM kule Kizota Dodoma ambapo Nyerere alitangaza kwamba anang'atuka na Mwinyi alichaguliwa kuwa Mwenyekiti, na pia katika Mkutano huo kulikuwa na Uchaguzi wa CCM. Katika mwaka huo Maalim Seif alifukuzwa uanachama wa CCM na baadaye mwaka 1989 aliwekwa kizuizini kwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali.
Je huyu bwana anataka kutuambia kwamba maamuzi ya ule Mkutano wa CCM yalikuwa ni makosa?
PressReader.com - Journaux du Monde Entier
Mazito Zanzibar
 
Back
Top Bottom