Hivi Mgao wa Umeme Umeishia Wapi?

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,519
6,516
Ila mwaka huu TAANESIKO wametusamehe sana, mpaka leo hakuna mgao wa umeme!! Bado siamini. Bei mpya ni kama ilikuwa ni kupima, je wapo au wamelala??! Wangezubaa kidogo ungesikia Mabwawa ya Mtera na Kidatu yamekauka na tunaanza mgao mkali wa umeme!!
 
Back
Top Bottom