Hivi ni Nani Mwenye Paspoti Mbili?

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,519
6,516
Katika watu walioitwa na Makonda pale Central Polisi kuna mmjawapo kati ya waliosachiwa na polisi amekutwa akimiliki paspoti mbili, je ni nani?
 
huyu manji ndio ana passport ,bili.
huyo manji ndio anatumia ngada.

ndio.. manji huyu huyu wa Yanga
 
Alijua akimaliza kutukuna anaenda kwa siro alhamis anatoa mbwembwe na matusi kisha anahamia zake ulaya ijumaa....haha had sasa hajui nan anashikilia passport yake!
 
Kuna tofauti ya uwazi na uropokaji..

Kama kuwepo wauza unga wanaotumia uchochoro wa bureau de change.. haihalalishi vita dhidi ya biashara halali

And who is MACONDER to question biashara halali zilizosajiliwa BOT na TRA?
 
Sasa pia bank pamoja na mahotel yapangiwe idadi. Du! Hayo maduka ya kubadili fedha hayalipi kodi? Kama ndiyo je watanzania wanaofanya biashara ya utalii wanalipwa na hao wazungu kwa hela zipi? Je watazibadilishia wapi? Hapa naona kuna la zaidi na siyo ngada tu
 
Huyu jamaa anatumia udhaifu na umasikini wetu kufanya mambo Yake hasa kwa kutoa misaada mbalimbali ktk jamii huku anatuangamiza yaani chini ya kapeti anafanya Yake.kutokana na mazingira ambayo tayari kajitengenezea sio rahisi baadhi ya wanufaika wa misaada Yake kuamini anachofanya.ki ukweli makonda umethubutu lkn tu fuata taratibu na sheria ili kuwakomesha hawa jamaa wanao haribu jamii ......songa mbele
 
Back
Top Bottom