Huu wimbo: Nikamateni mkanitupe Segerea

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,519
6,511
Mhh, huu wimbo balaa. Vijana wamecharuka wamechokozwa sasa wanajibu kwa sanaa!
 
Hatukukamati ng'oo .endelea kutafuta kiki.na mtaimba sana kipindi hiki.mmezoea siasa za matukio
 
Muziki una hisia. Ikiwa hukuguswa na hizo hisia unapotezea, ina maana ujumbe haukuhusu. ila kwa muhusika lazima ataguswa na kuelewa nini wanamaanisha. Hata Ney ameimba na kuweka hisia zake wahusika wamesikia. Tuache sanaa ya muziki iongee na huu ndio wakati wake! Sio hao vijana pekee, ukisiliza nyimbo za Bob Marley utaelewa nini maana ya hisia za msanii. Na hawa vijana walau wanajaribu kuweka hisia zao ili ahusika wawasikilize.
 
Bob aliimba nyimbo zenye maono ya muda mrefu na bado ujumbe kwa vizazi vijavyo sio wasani wa bongo unaimba nyimbo ya matukio .ili kufurahisha wanasiasa .imba nyimbo ya kelimisha jamii kwa ujumla.mara utasikia vyeti bashite haya akitolewa hiyo nafasi na wimbo kwisha.mpaka nakumbuka muziki wetu wa dance sio hii bongo flava yenu ni taabu
 
Looooohhh umepotoka mkuu, mtafute mwalimu wa fasihi akufunze historia ya fasihi hasa akiutalii muziki wa bongo fleva asili, chimbuko na dhamila yake kwa ujumla, hapo ndipo uweze kukomenti ukiwa free sio trapped mind
 
Well said. Nafikiri ameelewa ni nini vijana wanatabahisha kwa kuzingatia historia ya muziki na chimbuko lake. Ukiielewa fasihi ni rahisi sana kuelewa dhamira ya msanii anapowasilisha ujumbe.
 
Huu wimbo nao uboreshwe kama alivyoshauriwa Ney. Badala ya "nikamateni mkanitupe Segerea" aimbe "nitekeni mkanitupe Ununio".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom