KIWANGO CHA UHURU WA HABARI

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,519
6,516
Leo Rais amesema Waandishi wa Habari hawana uhuru kwa kiwango wanachodhani.
Je ni kiwango gani cha uhuru wa habari kilichopo Tanzania? Anayefahamu atujuze manake wengine hatufahamu hicho kiwango cha habari kilicho Tanzania ili wenzetu waandishi wa habari wasije kujikuta kwenye matatizo.
 
Kote duniani hamna uhuru wa habari wa kutukana matusi
 
huko tunakoelekea waandishi wahabari wataanza kufungwa na wengine kupotea kwa mazingira ya kutatanisha kwa kuandika asiyo yapenda rais. poleni waandishi wa habari....
 
Under a dictatorship, a nation ceases to exist. All that remains is a fiefdom, a planet of slaves regimented by aliens from outer space.
 
Back
Top Bottom