Search results

  1. Shinto

    Debunking the CORD Supreme Court petition.

    Debunking CORD supreme Court Petition
  2. Shinto

    Makubwa Ya Cardinal O'Brien

    Cardinal Keith O'Brien is expected to face a Vatican inquiry after admitting his sexual conduct had at times "fallen beneath the standards expected of me". The inquiry into the former head of the Catholic Church in Scotland is not likely to begin until after a new Pope is chosen - a...
  3. Shinto

    MADA NGUMU: MOU imedhoofisha hospitali za serikali

    Tukiacha ushabiki na kulitizama swala hili kwa mapana yake wengi mtakubaliana na mimi kuwa hospitali za serikali za wilaya au mikoa ambako kuna hospitali za mission zilizo chini ya MOU zimedhoofika kama sio kufa kabisa. Nenda mikoa au wilaya zote, Mwanza, Moshi, Ruvuma, Lindi, Njombe hali ya...
  4. Shinto

    CHADEMA mmeghairi sera ya majimbo?

    Mikoa ya kusini sasa ipo kwenye vita kali kupigania rasilimali yao ya gas isihamishwe kuja Dar es salaam kama raw material badala yake all processing na viwanda vinavyotumia gas kwa kiwango kikubwa viende vikajengwe huko.Nadhani hii ni karata nzuri kwa wananchi wa mikoa ya kusini, kwani kuwepo...
  5. Shinto

    Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

    Wapendwa, Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea! Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system. Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake...
  6. Shinto

    Kwanini JK aliungwa mkono sana 2005 na kuchukiwa 2010?

    Wapendwa, Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki)...
  7. Shinto

    Mafuta ya ubuyu!

    Ndugu kuna mtu anauza mafuta ya mbegu za ubuyu, kati ya Tsh 40,000 na 60,000. Swali je nini kimeyapa mafuta haya thamani kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi? Pia naambiwa matumizi ni kuyala mabichi na si kupukia! Ni kweli yana medicinal values kama inavyodaiwa? Au ni upepo tu kama wa ngetwa 3...
  8. Shinto

    Historia: Hivi Wasukuma Hawakuwa na Tawala?

    Labda nianze kwa kukiri kuwa, sakata la karibuni kati ya Mh. Shibuda na BAVICHA ndio kilichonisukuma nianze kuirejea historia. Ni ukweli kuwa wasukuma ni kabila kubwa na lenye ushawishi mkubwa hapa Tanzania. Lakini nikikumbuka historia niliyojifunza st. kanumba...
  9. Shinto

    Hii picha inaongea mengi kwa viongozi wetu wanaouza na kugawa ardhi yetu kwa wageni

    Waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu ametupiwa lawama kutokana na kauli yake ya kibaguzi kuwa wahamiaji weusi pamoja na mayahudi weusi (mafalasha wa Ethiopia) wanatatiza kutimia kwa ndoto la kuundwa kwa takatifu la Kizayuni. Amesema ataongeza juhudi ili kuwarudisha kwa watu hao wote...
  10. Shinto

    Obama likely to lose 2012 Election!

    Hey guys, Looks like tides are turining on our 'beloved' Obama. Reading comments from most of Americans, Obama is not fairing vey well. I have feeling Obama is not going to win this year, anybody shares my view?
  11. Shinto

    Wabunge wa CHADEMA mtawambia nini wapiga kura wenu 2015?

    Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa. Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi. Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao...
  12. Shinto

    Nini Tofauti ya hizi? Website and Blog

    Wakuu, Kama mmeshawahi ku-discuss hapa, naomba link!. Natatizwa sana na hivi vitu, website ya kawaida, web portal na blog. Nini tofauti yake, in terms of contents, functions and technologies used to make them. Shukran
  13. Shinto

    Mh. Mtei: Baraza jipya la mawaziri; Uwiano umezingatiwa?

    Kama mtakumbuka wandugu, baba mwasisi wa CDM mh. E dwin Mtei, alikuja juu wakati tume ya katiba ilipotangazwa. Hoja yake ikiwa tume imejaa majina ya watu wa dini fulani. Kama kawaida alipata upinzani kwa wanafikra huru, na uungaji mkono kutoka kwa wanazi wa CDM. Sasa jana baraza la mawaziri...
  14. Shinto

    Kumbe Kanye West ni Shemeji !!!??

    Tanzanian supermodel Miriam Odemba is back in the game in a big way. The mother of one who had taken time of the run way has quickly got her 36-25-36 shape back and is already rubbing the loins of A-listers. Miriam . was amongst the few people that attended Kanye West unveil his second...
  15. Shinto

    Maaskofu Walihusika Vipi na Mgomo wa Ma-dr?

    Jana kwenye hotuba ya JK alisema, madaktari walienda kwa maaskofu kabla ya kupelekwa na maaskofu hao hao kwenye mazungumzo na Pinda usiku wa manane. Nataka kujua tu nini ilikuwa role ya maaskofu kwenye sakata hili? Kwa nini madaktari walienda kwa maaskofu kwanza kabla ya kwenda kwenye...
  16. Shinto

    Mgomo Uendelee, Tushinde uchaguzi Arumeru!

    Hivi unajua kwa nini majority of JF members ( ambao ki-msingi ni CDM Caucus) wanachagiza mgomo uendelee? Ni issue ya uchaguzi na manufaa ya kisiasa! Mgomo ukiendelea, media zikaupa coverage, lawama zikaelekezwa kwa serikali na chama chake; huu ni mtaji mkubwa wa kisiasa na ni main campaign...
  17. Shinto

    Kama Wewe ni Jasiri..

    Kama kuna mtu jasiri hapa JF atutajie ID zake zote anazotumia humu!!!!!!!!!! Najua zipo multiple IDs!
  18. Shinto

    Hivi Rev. Masanilo wa JF amekuwa mod?

    Nimepata warning kutoka kwa huyo mkuu kutokana na post yangu kwenye thread fulani. Sijui alinitumia kama moderator au alijisikia tu! Ninachojua huyu mkuu ni mhanga wa ban za kutosha kutokana na michango yake yenye kejeli za kidini! Mwenye taarifa atujuze!
  19. Shinto

    "Nabii Kamuambukiza Mke wangu STD"

    Wakuu hii quote nimeitoa kwenye gazeti moja hivi Jumamosi. Walikuwa wanafanya mahojiano na yule wakili anayedai mkewe kabakwa na Nabii na Mtume, amesema issue iligundulika baada ya mkewe kuwa na gonwa (std) lisilopona kwa miaka mitatu, baadaye akaambiwa atubu ili aweze kupona, ndipo akuvujisha...
  20. Shinto

    Makasisi wakutana Vatican kujadili Unajisi Dhidi ya Watoto

    Vatican holds summit to tackle sex abuse by priestsThe Vatican is under pressure to do more to protect the victims of abuse by members of the clergy Roman Catholic leaders have begun an unprecedented summit in Rome on how the church should tackle the sexual abuse of children by priests. In a...
Back
Top Bottom