Mh. Mtei: Baraza jipya la mawaziri; Uwiano umezingatiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Mtei: Baraza jipya la mawaziri; Uwiano umezingatiwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shinto, May 5, 2012.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama mtakumbuka wandugu, baba mwasisi wa CDM mh. E dwin Mtei, alikuja juu wakati tume ya katiba ilipotangazwa. Hoja yake ikiwa tume imejaa majina ya watu wa dini fulani.
  Kama kawaida alipata upinzani kwa wanafikra huru, na uungaji mkono kutoka kwa wanazi wa CDM.
  Sasa jana baraza la mawaziri limetangazwa, sijaona comments zake hapa, Je uwiano wa majina ya kidini umezingatiwa safari hii? Na ameridhika nao?
   
 2. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  umeuliza swali safi sana,....
   
 3. The Genius

  The Genius Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila siku udini... udini... udini.... hadi kichwa kinauma. Hivi kweli, ulishajiuliza ikiwa kiongozi fulani wa dini yako amekufanyia nini cha ziada personally kwa nafasi yake serikalini. Mbona wote mafisadi tu, wanakukumbuka saa ngapi. Nyie mtaishia tu kupigana vikumbo, huku wenzenu wanazidi kula nchi. Mawazo hovyo sana haya.

  You cant be serious, huh!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  amani izi sio zama za kuentertain udini tutaja uana bure
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wamejaa wagalatia kishenzi mtei huoni we mzee livunjwe hili baraza.
   
 6. K

  Kaseisi Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bado anahesabu......................
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi kwenu hakuna choo cha kupeleka huko haya .... yako?
   
 8. The Genius

  The Genius Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi kwanza nimeishaanza kutilia mashaka wachangiaji wa hizi threads zenye udini. Inawezekana kuna watu wana IDs hadi kumi kwa ajili ya kuchangia mambo haya. Sitarajii kama tuna watu wengi humu jf (great thinkers) wenye mawazo ya kidini kiasi hicho.

  Maana utakuta mtu anaanzisha thread isiyo na kichwa wala miguu, lkn mara moja utakuta mlolongo wa wachangiaji. Kila mtu anaibeza dini ya mwenzie. Swali, je wale tusiokuwa na dini zenu hizo, sisi sio watanzania? Na hao mnaotetea kwa msingi wa dini zenu, wakifika huko mnafaidika nini. Mbona wote mafisadi tu?
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mtei ndio mdini wa kwanza, itazame chadema ilivyo, wafanye wafanyavyo hata ile 83/17 hawatoifikia. Nna uhakika chadema ni 95/5, hao 5 ni wale muflis.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hali ikoje huko NSSF na UDOM? Takwimu ziko vipi?
   
 11. s

  sanjo JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu umenena kweli. Tusipokuwa makini tutazidi kupoteza mwelekeo kwani muda mwingi tutakuwa tunafikiria dini yangu au hata kabila langu au kanda yetu imesahaulika. Kitu cha msingi cha kujiuliza je hili Baraza jipya litatatua vipi matatizo yetu kama yale ya mfumko wa bei, matumizi mabaya ya fedha za umma, kukosekana kwa uwajikaji wa viongozi kwa umma, utawala mbovu usiozingitia sheria, ufisadi, kudorora kwa utoaji wa huduma muhimu za afya, maji, elimu nk. Kwa nini tuwe na baraza kubwa kiwango hiki ukilinganisha na nchi zingine? Je rasilimali zetu ziko kwa manufaa ya nani hasa? je ni kwa ajili ya viongozi? au wawekezaji? au ni kwa ajili ya wananchi kwa ujumla wao?

  Haya ni baadhi ya masuala ambayo tunataka watawala wetu wayatatua bila kuangalia dini, kabila au rangi ya mtu. Tukianza kulalama kuwa kabila letu limepunjwa katika baraza hili bila kukazania kuondoa kero nilizozitaja haitasaidia kuzitoa hata kidogo.
   
Loading...