Hii picha inaongea mengi kwa viongozi wetu wanaouza na kugawa ardhi yetu kwa wageni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii picha inaongea mengi kwa viongozi wetu wanaouza na kugawa ardhi yetu kwa wageni

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shinto, May 24, 2012.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu ametupiwa lawama kutokana na kauli yake ya kibaguzi kuwa wahamiaji weusi pamoja na mayahudi weusi (mafalasha wa Ethiopia) wanatatiza kutimia kwa ndoto la kuundwa kwa takatifu la Kizayuni.
  Amesema ataongeza juhudi ili kuwarudisha kwa watu hao wote!

  Maandamano makubwa yalikuwa yamepangwa nchini Israel ili kulaani kauli hiyo inayochochea ubaguzi.

  Source: BBC news
  My take: Sasa hii bendera ya Israel kwenye gari yangu niitupe? Ili nisiwakwaze wakina Netanyahu?
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  Big up Netanyau! Huo ndio ukweli, tatizo letu miafrika hatuwezi kutumia common sense, hivi kwa akili za kawaida hii biblia inayowataja Mungu wa Yakobo, Isaka, nk ni ya Mungu wetu kweli? Eti Yerusalem ya mbinguni ataingia Shitungulu, Zuma au Makoye kweli? Tuache kujipendekeza kwenye mapokeo ya wenzetu kwani nasi tuna Miungu wetu hata kama wakwetu walichelewa kutelemsha vitabu(walikuwa hawana printer). Waafrika tuna imani zetu nzuri na wakati huu turudie imani zetu.
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,590
  Likes Received: 12,868
  Trophy Points: 280
  loading............
   
 4. s

  schwester Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhali Netanyahu kaweka wazi ubaguzi uliopo na kaeleza sababu ya kweli kwao inawakwamisha kutokana na imani yao. Ubaguzi upo Europe wapendwa kama ulishawahi kuja hutamani tena kuja na kama ni mwanafunzi unatamani ukamalizie shule kwenu. Watu hawa ni balaa sana na inaleta uchungu sana. Na si Europe tu nenda kwa waarabu ambao ni sehemu ya Afrika lkn wakionana na mufrika unajuta kwa nini umekutana nao. Hivyo ni wakati wetu waafrika tulitazame hilo tusingoje Mungu apige parapanda. Kwani pamoja na ukarimu tunaowafanyia wanauita MANYAI WAUWAJI hata mtto mdogo akimwona muafrika yupo tayari kujirusha kwenye gari kuliko kupishana na mtu mweusi(mwafrika) inasikitisha sana!
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  kiukweli african tunabaguliwa sana,uko Asia ndio sana,niliwai kuishi nchi za Asia wanabagua sana,ukipanda treni au bus awatak kukusogelea kabisa,nakumbuka kuna siku nilipanda treni pale nilipokaa mimi kulikuwa na nafasi kubwa tu,akaja bibi wa miaka kama 70-80,kuniona akaona bora asimame asikae karibu yangu,akasimama ghafla treni ikasimama yule bibi akaanguka chini.mi sishauri muende kuweka makazi nchi za Asia na Eastern Europe,labda kama mnaenda kutembea.
  nchi za asia na ulaya mashariki ni wabaguzi sana,kuna mtu nilikutana kwenye yeye aliambiwa mbona akuwa na mkia alienda uholanzi,juzi juzi makanisa ya kilokole Kentecky,marekani walikaa ndoa ya black/white.
  tukubali ubaguzi auwezi kuisha ila unapungua
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,884
  Likes Received: 2,833
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kutubagua vinyau vyao vinatuzimia ile mbaya! Nilifanya kazi na Waholanzi acha wajilengeshe nyamb..f zao! Mi-Afrika sijui kwa nini tunawanyenyekea hawa watu wasiokuwa na ngozi hawa. Akina Vasco ndo kila uchao wanawaza kwenda safari tu tumb..f! Tungekuwa na akili nzuri tungeimalisha ushirikiano wetu wa Afrika tukawanyima mali ghafi tuone kama hawatatupigia magoti. Nalikumbuka sana jembe la Afrika Ghadafi lilitaka kunikomeshea wazungu basi tu lilikosa wa kuliunga mkono! Wallah wangejamba cheche!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  waandamanaji wa kiisraeli huko nchini Israeli wakipinga uwepo wa waafrika kwenye nchi yao
  afp-photo-roni-37832.jpg
  chini gari ya waafrika ikiwa nyan'ga nyan'ga baada ya kupondwa na mawe .

  african-drive-shattered-protesters.jpg
  kama hujawahi kubaguliwa usiombe kubaguliwa
   
 8. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Dah hadi nimejiskia vibaya,hawa mbwa kwasababu ya ubaguzi ndo maana wanapigana kila siku...i hate them already!!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na hamuiendi peponi hao wakikataa kuwakaribisha, si wao ndio wenye viti?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa ndio mtajuwa kilio cha Waarabu.
   
 11. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  wakome nao.....kukaa nchi ya watu utumwa
   
 12. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,427
  Trophy Points: 280
  Dah! inahuzunisha kinoma..
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  We vumilia kidogo tu, watakuja watu na stori za taifa la mungu...
  taifa la mungu my foot!
   
 14. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Viongozi wako wa bongo hawajui hilo, mpaka vimiradi vidogovidogo lazima wakaombe ombe
  Unaacha wazungu wavune madini burebure, bila kufikiria unaamsha makalio kwenda kuomba kwao
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  kila demu wa kizungu ana dream za kuonja nyama ya kiafrika
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  watu wamemezeshwa
   
 17. c

  chief 1 JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Waafrika tuna tabu sana ktk dunia hii kwani, wenyewe kwa wenyewe hatupendani na pia watu weupe nao hawatupendi!! Niliwahi kusoma gazeti moja huku Ulaya kua kuna kiongozi mmoja mkuu wa kanisa maarufu duniani, alikuja kutembelea huko Africa ktk nchi ya Congo sasa wakati wa ibada kanisani alikataa kula ekalisti(chakula cha bwana), kilicho andaliwa na kuombewa na kiongozi wa kanisa la Congo akidai kwamba hawezi kula chakula cha bwana kilicho andaliwa na Mtu mweusi, kwani rangi nyeusi ni rangi ya Shetani hivyo haiwezi kumpandisha Roho Mtakatifu!!!duuu nilisikitika sn kuona hio habari.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Mnafikiri hawa waisraeli wakae kwenye mlango wa kuingilia mbinhuni kuna mweusi ataingia?
   
 19. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,128
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280

  Kwa kutembea kwangu naona waarab na wayahudi ndiyo wamezidi kwa ubaguzi. Waarab ni kiboko ya wote, ila utashangaa TZ mtu anaona ufahari kujifananisha na Mwarabu wakati they look down at us tena kwa kichefu chefu. Sijui nchi gani ya Ulaya uko wewe ila sidhani kama ubaguzi wa huko unashinda Israel na uarabuni.
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tujitahidi tutengeneze Africa yetu.. tubaki kwetu .. tuwaache na ulaya yao ..
   
Loading...