"Nabii Kamuambukiza Mke wangu STD" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Nabii Kamuambukiza Mke wangu STD"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shinto, Feb 13, 2012.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakuu hii quote nimeitoa kwenye gazeti moja hivi Jumamosi. Walikuwa wanafanya mahojiano na yule wakili anayedai mkewe kabakwa na Nabii na Mtume, amesema issue iligundulika baada ya mkewe kuwa na gonwa (std) lisilopona kwa miaka mitatu, baadaye akaambiwa atubu ili aweze kupona, ndipo akuvujisha siri yooooooooote! Dunia Ina Mambo!
   
 2. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  error!
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,465
  Trophy Points: 280
  Jesuit,
  Mbona umeng'ang'ana na kumchafua Nabii na Mtume?!.

  Mke anayetembea nje, maana yake ni mke mgawaji, hivyo hana limit kuwa aligawa kwa nabii peke yake!.

  Kama ni kweli alipata STD na kumletea mumewe, huo ni uthibitisho amekuwa akifanya unprotected love, namshauri huyo wakili asidhanie mama ndio alianza jana!, tena asithubutu kabisa kuwapima DNA hao watoto wao!. Kutembea nje mazoea ambayo hugeuka tabia na hatimaye kuwa desturi!.

  Kama hiyo ni tabia, hata kama mahusiano ya nje yanayofahamika ndio hayo ya huyo Mtume na Nabii, hiyo sio guarantee kuwa ndio aliyemuambukiza!. Kuna kuanzia house boy nyumbani, shamba boy, mlinzi, dereva, fundi bomba, fundi umeme, na whoever mwenye legal access nyumbani kwa sababu shughuli ilikuwa ikifanyikia nyumbani!.

  Japo lengo lako ni kumdhalilisha Nabii na Mtume, anaeishia kuaibika na mwanamke akiduatiwa na mumewe!.

  Please stop this!.
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  No need to stop, mchungaji hachafuliwi bali mchungaji ni mchafu!!!!!! Pasco hapa watu hawajadili tabia, tunajadili tukio lililotengeneza vichwa habari kwa media kibao, kama una account pale mwenge tawi la efata nafsi yako inakusuta na kukuhamasisha utuambie tusimjadili nabii wako, hutakuwa sahihi, badili strategies. kwa picha hii hachafuliwi mwingira ni mchafu!!!!!
   
 5. M

  Mringo JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  .............................................................................
  Sikulaumu ndugu nyie tabia yenu ni kulindana tu pasina kuangalia kafanya nini!!..ninachowashangaa ni kwamba huwa muna-watukuza hawa watu wanajiita manabii mpaka munajisahau na kuwapa sifa ya u-ungu..Muna historia ya mbali kwani hata Papa ashawahi kuwatetea makasisi waliokua wamewalawiti watoto na akafikia hata kuvilaumu vyombo vya habari vilivyothubutu kueleza ukweli..."Eti akataka suluhisho kwa kuwaomba radhi familia za watoto waliolawitiwa" ..Jamani aminini hawa ni watu kama wengine na hawana upako wa mungu hata chembe....hivi mulipoambiwa kama kutakua na manabii wa uwongo na watakaotenda matendo makuu mlifikiri mutamjuaje???...kama hamjajua mpaka sasa rudini vitabuni hamjaelewa mafundisho....ni wakati sasa wakristo kuthubutu kumtenga munayeweza kumuona anaelekea kuwa nabii wa uwongo kama huyu..
  ................................................................................................................................................................
  Au munasubiri mpaka awafanyie nini????????
   
 6. G

  Gsamaritan Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  I think it is right to discuss the issue not the person
  Mi nadhani huyu mama haka katabia alianza lini halafu kabakwa kisha kanyamaza muda wote huo
  j
  jamani wana jf
  hali ni tete tuwaombee wanaotuongoza
  kila sehemu ni shida kwenye gvt then ukisema uende kanisani no hayo
  ila mi nadhani watu
  tutambue kuwa hawa manabiini binadamu na tuwaombee
   
 7. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sishabikii lile ovu alilofanya huyo anayejiita nabii lakini hebu ona haya maneno ya Bwana yesu Kristo alipopelekewa yule mwanamke mzinifu ili amhukumu " Yeye ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke". wachungaji ni binadamu kama sisi na wanaudhaifu sawa na wanadamu wengine. si vyema kuwachukulia kama wao ni malaika, na tutafanya kosa kubwa sana kuwaamini wao zaidi kuliko mungu. watu wengi sana hivi sasa wamekatishwa tamaa katika masuala ya dini baada ya kukwazwa na viongozi wao wa kiroho. kuulinda uovu aliofanya huyo nabii si sahihi na pia kulitangaza sana jambo hilo kama yeye ndiye wa wakwanza miongoni mwa wanadamu kufanya kosa nalo pia si jambo jema.
   
Loading...