Historia: Hivi Wasukuma Hawakuwa na Tawala?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Labda nianze kwa kukiri kuwa, sakata la karibuni kati ya Mh. Shibuda na BAVICHA ndio kilichonisukuma nianze kuirejea historia.
Ni ukweli kuwa wasukuma ni kabila kubwa na lenye ushawishi mkubwa hapa Tanzania. Lakini nikikumbuka historia niliyojifunza st. kanumba, sikumbuki kusoma tawala au kiongozi yeyote maarufu kutoka kabila hilo!
Je, hawakuwa na tawala kubwa iliyostawi?
Walimezwa na kutawaliwa na Wanyamwezi, ISIKE na MIRAMBO?
Au walikuwa nazo sizijui, au historia imewasahau?
 
Fanya kwenda kwenye makumbusho ya wasukuma Bujora.hata hivyo ninavyo fahamu wasukuma walikuwa na watawala wao waliokuwa wakiwaita Mtemi.
 
Labda hawakusumbuliwa na wageni/maadui na hawakuwahi kuuza ardhi ndiyo maana haujawasikia lakini walikuwepo.
 
Back
Top Bottom