Search results

  1. kwamtoro

    Wale wote tunaodaiwa na mitandao ya simu tukutane hapa, tupeane ushauri

    Tumekuwa tukiishi kwa wasiwasi sana hasa tukitumiwa pesa tunakimbilia kwa mawakala kama hatuna akili nzuri. mimi kidogo nime-advance, natembea na namba za wakala za kutolea pesa. Ila kuna siku nimesinzia kwenye daladala kushtuka pesa wamezilamba. Sasa nadaiwa laki nne wakinijumlishia riba yao...
  2. kwamtoro

    Vijana! Epuka kuingia katika vifungo vya ndoa, na makundi haya 3 ya wanawake

    Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo toka moyoni, mostly ni ma pretender tu. Kumdi la kwanza, MWANAMKE ALIYE FIWA NA MUME WAKE - ukiingia...
  3. kwamtoro

    Kilo moja ya unga ni kati ya 1400 mpaka 1600 huku nilipo

    Vipi kwa upande wako wewe, bei ikoje? Unashauri nini kifanyike maana hali si hali.
  4. kwamtoro

    Wawafahamu wadada wa kazi na changamoto zao siku hizi

    - Utapeli, jambo hili limekuwa la kaida na limeshika kasi sana. Utapeli huo ni wa kuhakikishiwa dada wa kazi kapatikana kisha unatuma pesa then unaambiwa kabisa dada kapandishwa kwenye basi Fulani, atawasili saa saba mchana ubungo, then unaenda kumpokea dada hewa. - Uaminifu...
  5. kwamtoro

    Mzungu amepatikana

    An American tourist asked a boat guy in Zanzibar, Do you know Biology, Pyschology, Geography, Geology or Criminology, The boat guy said, No. I don't know any of these" The tourist then said "What the hell do you know on the face of this earth? You will die of illiteracy" The boat guy said...
  6. kwamtoro

    Wanawake mbele ya pesa, mimba na UKIMWI ni matokeo tu

    Kama ulikuwa uwafahamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi, pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya kijiji kizima ukifulia kijiji kizima wanakuacha, utaanza kuonekana kama kituko...
  7. kwamtoro

    Wakati wamatopeni aka Simba wa maonyesho spot club

    Wamebakia kufunua makabrasha kushindania yaliyopita. Wa kimataifa aka Young African wanazidi kufyanza mambo. Mimi kwamtoro Mwanachama na mpenzi wa coast union ya Tanga
  8. kwamtoro

    Huyu mbunge kwa kweli natamani sana kuona picha yake akiwa full

    Toka nimeona clip yake ya bunge kwa jinsi alivyochangia kuhusu bunge live. Nimevutuwa na muonekano wake, sauti yake hasa alipotamka anatamani kulia. Nikajiuliza sana kwenye moyo wangu, huyu anafananaje, yupoje. Nikaa googlee wee bila mafanikio. Leo nimegoogle atleast nikaiona hii picha japo...
  9. kwamtoro

    Waume/wake tusiwe na mawazo mabaya kwa watu walio karibu na wenza wetu

    Nina bahati mbaya sana na huyu mume wa mtu, jirani yangu. Siku moja mke wake kaniita shemeji naomba uje unipe ushauri, kwa heshima na tahadhima nikaenda, tukawa tumekaa kitako akinieleza masahibu yanayo mkabili (sii ya ndoa) Mara mume wake huyoo. Siku nyingine tena nikiwa narudi kutoka kazini...
  10. kwamtoro

    Mpambe wa Rais Magufuli abadilishwe

    Kuna uzi moja ulianzishwa kipindi cha nyuma ukimuongelea huyu mpambe. Nilimtetea kwa kiasi kikubwa kwa kuzingatia kwamba Rais Magufuli ni Rais ambaye yupo tofauti kabisa na marais waliomtangulia. Yeye hana utulivu, lolote wakati wowote anapoana anapenda kulifanya anafanya. Mfano, amewaona...
  11. kwamtoro

    Kubota yupo wapi??

    Mh Kubota upo wapi ndugu. Wewe ni mtu muhimu sana kwenye jukwaa letu hasa kwa kutufunua akili na kutupa mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Naomba mods kama mna namna yeyote ya kumtress huyu mtu, naomba mtuletee
  12. kwamtoro

    Sitokuwa na uzalendo kwa sababu ya kusiginwa Democracy Zanzibar

    Ing'ekuwa ni sababu nyingine hapo sawa. Lakini kila mwenye macho ameona, hata asiye jua kusoma picha ameona upumbavu wa uchaguzi wa Zanzibar. Tume ya uchaguzi itangaze mshindi halali wa Urais wa tar 25/10/15 ndipo sasa nitakubaliana na uzalendo wa mahubiri ya lumumba wa kula kumbikumbi na...
  13. kwamtoro

    Kwanini wake zetu, wapenzi wetu wa kike hawahoji mapato yetu sisi wanaume?

    Awali ya yote nawasalimu kwa dini ya kila moja wenu. Pili poleni sana kwa joto la uchaguzi ambalo lililifanya jukwaa letu la MMU kuonekana halina maana na kusahaulika hasa kipindi cha kampeni. Manguli wote wa MMU walihamia jukwaa la uchaguzi. Pia namshukuru Mungu uchaguzi uliisha salama japo...
  14. kwamtoro

    Dr Fenella Mukangara namba yangu umeipata wapi? Au Server ya NEC ipo Lumumba

    Mimi ni mkazi wa kibamba, leo umenitumia ujumbe kwa simu yangu nikuchague, Mimi zaidi ya kukuona kwenye luninga na magazeti, Sijawahi kukuona kokote kule, Hasa hizo nywele zako za twende kilioni, Ndizo unifanya nikutambue kirahisi, Nywele za garama zinakushinda, Ndio utanilete Maji, Ajira...
  15. kwamtoro

    CCM haiwezi kushinda, kwanini nasema hivyo

    Ili ushinde, lazima ukubalike, CCM hawakubaliki pamoja na kuwa wametumia pesa nyingi sana kulazimisha kukubalika. Mfano ni wa kukodi wasanii, kugawa bure matshert na kofia Vijana % kubwa hawaitaki, Ukweli vijana ndio wapiga kura wengi, ndio wanaoitaji mabadiliko Wamama wengi wataichagua...
  16. kwamtoro

    Wanachama na makada wa CCM huku site wamekata tamaa

    Hali ya upinzani wanayokutana nayo huku site, hawajawahi kukutana nayo. Sasa wamebaki kama watoto yatima. Katika kila kada moja, wanamabadiliko kumi. CCM kwa namna yeyote ile lazima washindwe uchaguzi wa mwaka huu. Kwa hali ya huku site, uwezekano wa Magufuli kuongoza kwenye kituo chochote...
  17. kwamtoro

    Hivi watu watakao ipigia kura CCM ni akina nani? Tuache ushabiki pembeni tuzungumze ukweli

    Serikali ya CCM kwa katiba iliyopo na inayopendekezwa wameminya sana utu wa mtu katika inchi yake. CCM wameminya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wetu sisi kwa kiwango kikubwa sana. Serikali ya CCM imeminya sana mawazo ya watu wake kwa kuitumia TCRA. TCRA itakuwa ni chombo cha kuficha...
  18. kwamtoro

    Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

    Lowassa kipaumbele chake namba moja Elimu, namba mbili Elimu na namba tatu elimu. Magufuli yeye kipaumbele chake Viwanda, Viwanda Tanzania nzima. Wote hao juu wanaomba kazi kwetu, sisi ndio mabosi wao. Wametuambia watatufanyia hayo tukiwapa ridhaa ya kutuongoza. Sasa tujadili yupi kati ya hao...
  19. kwamtoro

    Kwako Masai Dada, mwanamke/mke wa mtu yupo tayari kwa kila kitu mbele ya pesa

    Uliuliza hivi kweli mwanamke anaweza kuombwa unyumba kinyume na maumbile na waume zao?. Watu wengi walichangia kwa kulaani na kuhusisha makatazo ya kidini. Ukweli ni kwamba mwanaume ukiwa na pesa, hayo mambo ya kinyume na maumbile labda tu kama mwanaume huna interest nayo. Ila mwanamke...
  20. kwamtoro

    Kuichagua ccm ni uwenda wazimu. Kwa nini tunaitaji mabadiliko

    Tanzania got it's Independence on 1961 and Kenya got theirs on 1963.. Kenya is already a Second World Country while Tanzania is still on the list of Poorest countries.. Fact_1 Pato la Mtanzania kwa mwaka ni Tshs. 1,996,000 na Pato la Mkenya kwa mwaka ni Tshs. 3,176,000.. Pato la nchi...
Back
Top Bottom