kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Hali ya upinzani wanayokutana nayo huku site, hawajawahi kukutana nayo.
Sasa wamebaki kama watoto yatima. Katika kila kada moja, wanamabadiliko kumi.
CCM kwa namna yeyote ile lazima washindwe uchaguzi wa mwaka huu.
Kwa hali ya huku site, uwezekano wa Magufuli kuongoza kwenye kituo chochote cha uchaguzi ni mdogo sana.
Magufuli atakaragazwa na itakuwa aibu ya mwaka kwa CCM.
Wagombea ubunge wa CCM maji ya shingo, madiwani ndio wamekwisha zama kwenye maji.
Sijui nani kawaloga CCM?