Namtafuta mkuu Kubota na Elnino
Mh Kubota upo wapi ndugu. Wewe ni mtu muhimu sana kwenye jukwaa letu hasa kwa kutufunua akili na kutupa mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Naomba mods kama mna namna yeyote ya kumtress huyu mtu, naomba mtuletee
Asante wakuu kwa juhudi za kunitafuta. Nashukuru na nafarijika sana ninapodhihirishiwa kuwa michango yangu JF inasaidia jamii. Mimi nipo sana jukwaani, nimekuwa mzito kuchangia jukwaani kutokana na kujichimbia sana kwenye dili langu la huko maporini kuchoma mkaa maana maeneo yetu hayo ya uzalishaji mtandao haushiki.
Baada ya wachangiaji wengi kunilaumu kuhusu mimi kuharibu mazingira kwa mm kushiriki kuchoma mkaa niliingia kwenye utafiti wa kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya mazao ya shamba kama vile mabua ya mahindi, mpunga, alizeti n.k. Hivi karibuni nitaanzisha uzi kuhusu dili hilo jipya ambalo litaleta kishindo kikubwa ktk jamii katika kulinda mazingira yetu. Na mabwana misitu hawanipati tena msituni.
Sijapotea kabisa jukwaani ukitembelea Uzi wangu wa ZIJUE MBINU ZANGU: UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI utakuta naendelea kuchangia. Asante sana wakuu
Karibu mkuu bado nakutegemea sana.Asante wakuu kwa juhudi za kunitafuta. Nashukuru na nafarijika sana ninapodhihirishiwa kuwa michango yangu JF inasaidia jamii. Mimi nipo sana jukwaani, nimekuwa mzito kuchangia jukwaani kutokana na kujichimbia sana kwenye dili langu la huko maporini kuchoma mkaa maana maeneo yetu hayo ya uzalishaji mtandao haushiki.
Baada ya wachangiaji wengi kunilaumu kuhusu mimi kuharibu mazingira kwa mm kushiriki kuchoma mkaa niliingia kwenye utafiti wa kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya mazao ya shamba kama vile mabua ya mahindi, mpunga, alizeti n.k. Hivi karibuni nitaanzisha uzi kuhusu dili hilo jipya ambalo litaleta kishindo kikubwa ktk jamii katika kulinda mazingira yetu. Na mabwana misitu hawanipati tena msituni.
Sijapotea kabisa jukwaani ukitembelea Uzi wangu wa ZIJUE MBINU ZANGU: UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI utakuta naendelea kuchangia. Asante sana wakuu
Karibu sana mkuu, tunahitaji watu kama nyie kukabiliana na nyakati hiziAsante wakuu kwa juhudi za kunitafuta. Nashukuru na nafarijika sana ninapodhihirishiwa kuwa michango yangu JF inasaidia jamii. Mimi nipo sana jukwaani, nimekuwa mzito kuchangia jukwaani kutokana na kujichimbia sana kwenye dili langu la huko maporini kuchoma mkaa maana maeneo yetu hayo ya uzalishaji mtandao haushiki.
Baada ya wachangiaji wengi kunilaumu kuhusu mimi kuharibu mazingira kwa mm kushiriki kuchoma mkaa niliingia kwenye utafiti wa kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya mazao ya shamba kama vile mabua ya mahindi, mpunga, alizeti n.k. Hivi karibuni nitaanzisha uzi kuhusu dili hilo jipya ambalo litaleta kishindo kikubwa ktk jamii katika kulinda mazingira yetu. Na mabwana misitu hawanipati tena msituni.
Sijapotea kabisa jukwaani ukitembelea Uzi wangu wa ZIJUE MBINU ZANGU: UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI utakuta naendelea kuchangia. Asante sana wakuu
Wakuu majira kama haya mwaka jana nilinyanyasika kuuza nyanya debe kwa buku....mwaka huu majira haya mm roho ya ppaka niliyestahimili kurudia kulima nyanya majira haya haya hatarishi nakamua bei ya 15,000 debe!! Wadau hivi kumetokea nn!! nchini? Hali hii itafuatwa na mafuriko ya nyanya Sept - October.Karibu sana mkuu, tunahitaji watu kama nyie kukabiliana na nyakati hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa hilo dili ingawaje Mimi nalifanya huu mwaka sasaAsante wakuu kwa juhudi za kunitafuta. Nashukuru na nafarijika sana ninapodhihirishiwa kuwa michango yangu JF inasaidia jamii. Mimi nipo sana jukwaani, nimekuwa mzito kuchangia jukwaani kutokana na kujichimbia sana kwenye dili langu la huko maporini kuchoma mkaa maana maeneo yetu hayo ya uzalishaji mtandao haushiki.
Baada ya wachangiaji wengi kunilaumu kuhusu mimi kuharibu mazingira kwa mm kushiriki kuchoma mkaa niliingia kwenye utafiti wa kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya mazao ya shamba kama vile mabua ya mahindi, mpunga, alizeti n.k. Hivi karibuni nitaanzisha uzi kuhusu dili hilo jipya ambalo litaleta kishindo kikubwa ktk jamii katika kulinda mazingira yetu. Na mabwana misitu hawanipati tena msituni.
Sijapotea kabisa jukwaani ukitembelea Uzi wangu wa ZIJUE MBINU ZANGU: UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI utakuta naendelea kuchangia. Asante sana wakuu
Mkubwa mwaka jana watu walikula hasara vibaya mno hawajataka kurudia tena, hii ya kutokurudia tena kulima nyanya mwaka huu imeonyesha mkulima wa kweli ni yupi na mkulima mkumbo ni yupiWakuu majira kama haya mwaka jana nilinyanyasika kuuza nyanya debe kwa buku....mwaka huu majira haya mm roho ya ppaka niliyestahimili kurudia kulima nyanya majira haya haya hatarishi nakamua bei ya 15,000 debe!! Wadau hivi kumetokea nn!! nchini? Hali hii itafuatwa na mafuriko ya nyanya Sept - October.
Mkuu nipo nimeanza ufugaji wa kuku ila kuna baadhi ya mambo nimejifunza katika ufugaji wa kukuWakuu majira kama haya mwaka jana nilinyanyasika kuuza nyanya debe kwa buku....mwaka huu majira haya mm roho ya ppaka niliyestahimili kurudia kulima nyanya majira haya haya hatarishi nakamua bei ya 15,000 debe!! Wadau hivi kumetokea nn!! nchini? Hali hii itafuatwa na mafuriko ya nyanya Sept - October.
Mku unatusaidia sana kwani siku zote mawazo yako yatuhamisha kutoka hatua fulani na kufuata nyingineAsante wakuu kwa juhudi za kunitafuta. Nashukuru na nafarijika sana ninapodhihirishiwa kuwa michango yangu JF inasaidia jamii. Mimi nipo sana jukwaani, nimekuwa mzito kuchangia jukwaani kutokana na kujichimbia sana kwenye dili langu la huko maporini kuchoma mkaa maana maeneo yetu hayo ya uzalishaji mtandao haushiki.