kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,236
Ing'ekuwa ni sababu nyingine hapo sawa. Lakini kila mwenye macho ameona, hata asiye jua kusoma picha ameona upumbavu wa uchaguzi wa Zanzibar.
Tume ya uchaguzi itangaze mshindi halali wa Urais wa tar 25/10/15 ndipo sasa nitakubaliana na uzalendo wa mahubiri ya lumumba wa kula kumbikumbi na miogo.
Uzalendo wa kujitegemea pasipo matayarisho yoyote ni ujinga.