kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,236
Kama ulikuwa uwafahamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi, pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya kijiji kizima ukifulia kijiji kizima wanakuacha, utaanza kuonekana kama kituko.
Aliye umba pesa Mr pilato kweli kaziloga.Ukiwa na pesa, wanawake wanacho itaji ni pesa yako tu.Utumie condom, usitumie shauri yako pesa imewatoa ufahamu kabisa
Aliye umba pesa Mr pilato kweli kaziloga.Ukiwa na pesa, wanawake wanacho itaji ni pesa yako tu.Utumie condom, usitumie shauri yako pesa imewatoa ufahamu kabisa