Vijana! Epuka kuingia katika vifungo vya ndoa, na makundi haya 3 ya wanawake

kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,930
2,000
Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo toka moyoni, mostly ni ma pretender tu.
Kumdi la kwanza, MWANAMKE ALIYE FIWA NA MUME WAKE - ukiingia kwenye ndoa na pale mambo yakaenda vibaya mfano mis understanding, anakuchana makavu utofauti wako na marehemu mume wake. Hapo ndipo changamoto za ndoa ya namna hii zilipo.
Kundi la pili, MWANAMKE MWENYE MTOTO NA PENGINE WATOTO - Changamoto za ndoa hizi ni pale mawasiliana yanapokuwepo baina ya mke wako na mzazi mwenzake. Note! WATU WALIOZAA MTOTO, KUKUTANA KIMWILI NI KAMA ULIMI NA MATE, MAJI NA SAMAKI, SHATI NA TAI.
kundi la tatu, MWANAMKE ALIYE OLEWA NA KUACHIKA - hawa hawana upendo kabisa, tayari amekwisha pata experiance ya kuachwa, pia hana upendo wa kweli.
VIJANA! kaka mkubwa nawahasa, tena chonde chonde hayo makundi pindi ukiwa unatade nao wanatia sana huruma, pia wanajua sana kushauri, ukaona hapa nimepata. Hasa hao masingle mother's wanajifanya sana kama wanawachukia wazazi wenza wao, kumbe wapiii!!!
Please! Oeni wanawake mnao anza nao fresh kabisa, sii lazia awe ajanzwa. Awe km/ pr hrs zimesoma sana sii shida, ila asiwe kwenye makundi tajwa hapo juu.
 
T

Tissaphernes

JF-Expert Member
Mar 27, 2018
2,447
2,000
Mwanamke akishazalishwa hapaswi olewa. Huyo akae tu kwa kiburudisho.
Kwa waliofiwa nao wakae watulie
Wanawake wengi hivi kila mwaka batch mpya inaingia mjini tena mara 3 kwa mwaka afu unakimbizana na waliozalishwa

Kuna Darasa la Saba
Form 4
Form 6
Na
Wasisoma
 
Joanah

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
13,591
2,000
Hujawai kujua eeeeh my dear.
My brother alioa kwa ajili ya huruma na nusura.but now kila mtu kashika lwake haijadumu miaka minne.
Wanakuwa wanaonea huruma kitu gani?umri?muonekano wa huruma ama nini?
 
Mkwaha

Mkwaha

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
1,346
2,000
Kifupi Niseme Tu Kwamba Kumpata Mwanamke Wa Ndoto Yako Ni Bahati Tu Kama Zilivyo Bahati Nyingine.

Unaweza Kufuata Vigezo Vyote Ila Mwisho Wa Siku Bado Ukadondokea Pua.

Kwa Kulijua Hilo Ndio Maana Tunashauliwa Tunapoaza Mchakato Wa Kumtafuta Mke Basi Tumshilikishe MUNGU.

Binafsi Naamini Mke Mwema Anatoka Kwa Mungu Pekee Binadamu Tunadanganyana Tu
 
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
957
1,000
Anakuwa anafanya vitu gani vinamfanya aonekane anatia huruma?
Uyatima, upweke,historia ya makuzi,malezi aliyopitia na aliyopo sasa inategemea n.k

Kuna wanaume wana huruma asikuambie mtu,wanashindwa tofautisha upendo na huruma.na wanaamini watu hao wakiwa nao na wakionyeshwa thamani yao na umuhimu wao watatulizana.kumbe zingine ni kunguru zisizofugika.
 
livafan

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,414
2,000
Hapo paragraph uliyomalizia ndo mahari penyewe . La kwangu lilishabadilishwa oili mara kibao.
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
12,913
2,000
Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo toka moyoni, mostly ni ma pretender tu.
Kumdi la kwanza, MWANAMKE ALIYE FIWA NA MUME WAKE - ukiingia kwenye ndoa na pale mambo yakaenda vibaya mfano mis understanding, anakuchana makavu utofauti wako na marehemu mume wake. Hapo ndipo changamoto za ndoa ya namna hii zilipo.
Kundi la pili, MWANAMKE MWENYE MTOTO NA PENGINE WATOTO - Changamoto za ndoa hizi ni pale mawasiliana yanapokuwepo baina ya mke wako na mzazi mwenzake. Note! WATU WALIOZAA MTOTO, KUKUTANA KIMWILI NI KAMA ULIMI NA MATE, MAJI NA SAMAKI, SHATI NA TAI.
kundi la tatu, MWANAMKE ALIYE OLEWA NA KUACHIKA - hawa hawana upendo kabisa, tayari amekwisha pata experiance ya kuachwa, pia hana upendo wa kweli.
VIJANA! kaka mkubwa nawahasa, tena chonde chonde hayo makundi pindi ukiwa unatade nao wanatia sana huruma, pia wajua sana wa kushauri ukaona hapa nimepata. Hasa hao masingle mother's wanajifanya sana kama wanawachukia wazazi wenza wao, kumbe wapiii!!!
Please! Oeni wanawake mnao anza nao fresh kabisa, sii lazia awe ajanzwa. Awe km/ pr hrs zimesoma sana sii shida, ila asiwe kwenye makundi tajwa hapo juu.
Tawir tawire tawire
Cc: Single Mother na Wajane Wote
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
5,822
2,000
Pia unaweza ukaoa asiye kati ya hayo makundi na msidumu vile vile, nadhani ni kuomba Mungu tu umpate mtu sahihi ,unaweza pata aliyezaa na mkadumu yaani mkaenda fresh sana tu.

Ila hiyo kuolewa sababu ya kutia huruma duh, imenitafakarishaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom