kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,236
Toka nimeona clip yake ya bunge kwa jinsi alivyochangia kuhusu bunge live. Nimevutuwa na muonekano wake, sauti yake hasa alipotamka anatamani kulia. Nikajiuliza sana kwenye moyo wangu, huyu anafananaje, yupoje. Nikaa googlee wee bila mafanikio. Leo nimegoogle atleast nikaiona hii picha japo still sijasuuzika mtima wangu.
q
Naomba mwenye nayo picha inayomuonyesha muonekano wake vizuri, hasa akiwa amepiga kiubavu aiweke hapa kuniokoa kabla sijafanya maamuzi ya kwenda dodoma kumuona live
Naomba mwenye nayo picha inayomuonyesha muonekano wake vizuri, hasa akiwa amepiga kiubavu aiweke hapa kuniokoa kabla sijafanya maamuzi ya kwenda dodoma kumuona live