Search results

  1. Maundumula

    Naomba kufahamu bei ya Choroko kwa wastani na upatikanaji wa masoko yake

    Habari Waungwana, Naomba kufahamu bei ya Choroko kwa wastani na upatikanaji wa masoko yake Natanguliza shukran Ahsanteni
  2. Maundumula

    Desalination machine

    Habari Naomba kufahamu kama hapa kwetu Tanzania kuna supplier wa mashine ambazo zinatoa chumvi kwenye maji. Mashine iweze kutumia solar. Maji ya kisima cha ardhini.
  3. Maundumula

    Windmill water pump

    Habari wandugu, Hivi kuna anayefahamu wataalam wa kutengeneza cheap windmill water pump hapa Dsm?
  4. Maundumula

    CNN leo wamemkumbuka Filbert Bayi

    Nilikuwa naperuzi CNN leo kwenye michezo nikakutana na hii habari ya "Tanzanias forgotten marathon runne Tanzania's most decorated Olympian Running champion chases eduction dream Dar es Salaam, Tanzania (CNN) -- He's smashed world records and revolutionized running during his...
  5. Maundumula

    Mahindi yangu nitauza wapi

    Habari zenu wandugu, Kwanza nashukuru kwa kunipa hamasa ya kuingia kwenye kilimo. Inshallah mambo yakienda vizuri nategemea kuwa na mahindi kama gunia 800 au zaidi mwezi wa saba mwaka huu hapo Bagamoyo Naomba kujua nitauza wapi haya mahindi?, kama wateja wapo ikifika wakati naomba tuwasiliane.
  6. Maundumula

    Ukipata milioni 100

    Habari wandugu, Naomba kuuliza wana jukwaa hili, Hivi ikitokea ukapewa shillingi za kitanzania milioni 100 ukaambiwa uzifanyie biashara. Je ni biashara gani utafanya?
  7. Maundumula

    Forbes top ten family businesses in africa

    Hii nimeitoa CNN so nadhani ipo genuine. Remgro, founded in 1941 by Anton Rupert, South Africa In 1941, Anton Rupert, an Afrikaner South African businessman, started manufacturing cigarettes from his garage with a 10-pound investment. Rembrandt, the cigarette company he founded, became one...
  8. Maundumula

    Tanroads wapewe barabara zote !

    Wandugu, Naomba kuishauri serikali yangu sikivu kuondoa majukumu ya kujenga barabara kutoka kwenye manispaa na wampe kazi ya barabara zote hadi vichochoroni wakala wa barabara TANROADS. Tuwaongezee capacity kwa kuwapa wafanyakazi zaidi. Hii itasaidia kupunguza ufisadi uliokithiri...
  9. Maundumula

    Mgao wa DRFA shillingi milioni 12

    Wapenda michezo, Mchezo wa juzi DRFA imeingiza 12m bila jasho. Naomba kuuliza hawa DRFA wana responsibility gani kubwa ya kuwafanya wapate mgao mkubwa hivi? Je TFF inavitendea haki vyama vya michezo mikoa mingine kama Mwanza,Unguja,Singida nk kwanini huo mgao usigawanywe kwa vyama vyote...
  10. Maundumula

    Dawasco mnakera sana badilikeni!!

    Hawa jamaa wa Dawasco bado wanafanya kazi kwenye zama za Anolojia. Ukipiga simu kupokea hawapokei na mwishoe mtu akipokea anakupa namba ya mtu mwengine huyo mwengine nae anakuwa hapokei. As if wamekaa pamoja ofisini wanaambiana. Sasa ukisema utume barua pepe (e-mail) ndio kichefuchefu kabisa...
  11. Maundumula

    Wadada acheni hii tabia mnatukwaza mjue!

    Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari...
  12. Maundumula

    Mwenzenu nina addiction ya kununua nguo za ndani!!!

    Habari, Jamani naona haka kama kamekuwa ka ugonjwa. Nilianza kama utani miaka michache nyuma kumnunulia kama zawadi kwakuwa naona different different design & colors zinaleta muonekano tofauti ambayo kwangu is a turn on kwakuwa namuona kitofauti( sitaki maswali zaidi kwenye hili) lakini sasa...
  13. Maundumula

    Barabara ya Mwenge-Tegeta itaisha lini?

    Habari wandugu, Hii barabara yetu ya Mwenge-Tegeta mbona muda unakwenda bado hatuoni matumaini. Jamaa wapo Tegeta wanajenga daraja at snails pace imeshachukua mwaka mzima. Hapo mwenge napo hata dalili ya kumalizia kile ki daraja hamna. Pale Golden Bridge njia panda ya kawe wamejenga upande...
  14. Maundumula

    Ugonjwa wa kunyonyoka nywele usiku!

    Habari zenu jameni, Naomba kuuliza , hivi kuna ugonjwa wa ngozi ambao mtoto anaweza kupata ukamfanya anaamka asubuhi sehemu za nywele kichwani zimenyonyoka? Nakumbuka enzi za utoto nikienda kumtembelea bibi sometimes unaamka asubuhi sehemu fulani ya kichwa haina nywele. Je ni Mapunye ama?
  15. Maundumula

    Precision Air ndege mbovu!!!

    Watu tupo hapa awanja wa ndege Mwalimu Nyerere Dar toka asubuhi saa tatu kwenda Mwanza safari ilitakiwa ianze saa tano hadi sasa saa saba ndege mbovu! hawa jamaa sasa wameshindwa kazi kabisaa. Precision haipo tena.
  16. Maundumula

    Naomba namba ya Badra Massoud wa Tanesco!! URGENTLY

    Habari wandugu, Jamani nina siku mbili mfululizo sina umeme nyumbani kwangu. Na huwa nina mazoea ya kunua vitu vya mwezi mzima. Hivi ninavyoongea Samaki wote waliotoka kanda ya ziwa kwishne nimetupa na nyama nayo haitamaniki. Nyanya ndio hizo nazo zinaelekeaa. Kila nikijaribu kuwapigia...
  17. Maundumula

    Nimeingia tena...

    Long time sijakanyaga hapa. Nimekuja kuwasabahi je hamjambo?
  18. Maundumula

    Naomba msaada wa kutofautisha Engine 1G-FE na VVTi

    Habari, Naomba msaada kujua tofauti ya ENgine kati ya 1G-Fe ukilinganisha na VVti kama zote ni CC 2000. Please naomba msaada maana nahitaji kufanya maamuzi ya haraka. Ahsanteni sana
  19. Maundumula

    Breaking News-Tanzanian Ivory Worth $1.4 seized in Hong Kong

    Habari bandugu, Mzigo mwengine wa ivory kutoka Tanzania umekamatwa. Ningependa wahusika wajiangalie wenyewe waachie ngazi maana this is too much. Miaka ya baadae huko sisi watanzania tutalazimika kupeleka watoto wetu Dubai ili wakaone Tembo na Simba.Hii nimeikuta CNN leo. African ivory worth...
  20. Maundumula

    Si mnajua bethidei ya wifi yenu imekaribiaa!!!

    Habari wanandugu, Jamani mwezi huu mwishoni mwishoni nategemea kufurahia tarehe ya kuzaliwa ya mama nanihii teh teh teh. Nafahamu kuna wana darisalama wengi hapa sasa naomba msaada mnijuze wapi napata zawadi nzuri kwa ajili ya mamsap. Naomba uzingatie kwamba kipato changu duni:happy: sasa...
Back
Top Bottom